Ignorancia juris Non Excusat

Ignorancia juris Non Excusat

Eti mimi na wewe nani wa kwenda darasani..?

Iam a lawyer by professional kutoka chuo kikubwa hapa hapa nchini.
Alafu i cannot keep answering you back, it is not my style and its out of my carrier ethics.
Tafuta mtu mwingine kwenye post nyingine. Hiyo post yangu nazani huja ielewa vizuri but i can tell you that, my post niya kutoa uelewa wa ignorance of law na sio yakutaka comments kama unavyo zani.
Jifunza kupambanua vitu kabla huja ingia kichwa kichwa.

"I am a lawyer by professional"

Tehe tehe tehe, with lawyers like these, who needs a case?

You are an embarrassment to this highfalutin profession.
 
Gurta Nyani Ngabu stroke na wengine waliosoma post yangu ya kwanza kabla huyu bwana hajaanza kunicharukia watakuwa mashahidi!
.........Alafu kwanza mtu mwenyewe sijui hata unafani gani ila kutokana na nilivyo kustudy unaonekana kijana tu wamtaani....

Taaluma yangu isikupe taabu, ni ya kukesha nje kukulinda wewe 'lawyer wa chuo kikubwa bongo'!
 
....
Taaluma yangu isikupe taabu, ni ya kukesha nje kukulinda wewe 'lawyer wa chuo kikubwa bongo'!

Usijali mkuu, tatizo kuna wanaofikiri tunapinga contents za bandiko. This is JF and unless you're really good (and seasoned, of course) don't be (or rather try to be) a smartass!
 
Mkuu Gurta salamu zako,nikipata nauli ya kuja mjini nitakuletea zawadi ya njugu mawe na mihogo maana bwana bosi kaniahidi likizo ya wiki moja!
 
Last edited by a moderator:
Wengine huandika "Ignorantia de juris no es excusat" lakini naona huo ni mtazamo wa kihafidhina (conservative) zaidi. The more mainstream approach ni "Ignorantia juris non excusat". Kilatini cha Sheria kigumu kweli kweli!

Sasa lawyer lawyer, hebu wape watu elimu kuhusu "ex parte" judgement.

lazima aka copy and paste ndio aje hapa, sidhani kama anayo miezi miwili kwenye practice, ukija huu unaweka profession yako mfukoni na kujadili mada kwa ustaarabu, huwezi jua nani ni nani...
 
Back
Top Bottom