Eti mimi na wewe nani wa kwenda darasani..?
Iam a lawyer by professional kutoka chuo kikubwa hapa hapa nchini.
Alafu i cannot keep answering you back, it is not my style and its out of my carrier ethics.
Tafuta mtu mwingine kwenye post nyingine. Hiyo post yangu nazani huja ielewa vizuri but i can tell you that, my post niya kutoa uelewa wa ignorance of law na sio yakutaka comments kama unavyo zani.
Jifunza kupambanua vitu kabla huja ingia kichwa kichwa.
.........Alafu kwanza mtu mwenyewe sijui hata unafani gani ila kutokana na nilivyo kustudy unaonekana kijana tu wamtaani....
....
Taaluma yangu isikupe taabu, ni ya kukesha nje kukulinda wewe 'lawyer wa chuo kikubwa bongo'!
Wengine huandika "Ignorantia de juris no es excusat" lakini naona huo ni mtazamo wa kihafidhina (conservative) zaidi. The more mainstream approach ni "Ignorantia juris non excusat". Kilatini cha Sheria kigumu kweli kweli!
Sasa lawyer lawyer, hebu wape watu elimu kuhusu "ex parte" judgement.