nicholasmari
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 1,939
- 1,257
Huyu IGP wa sasa Camilius Wambura mbona hata kuongea Kiswahili hawezi, ni mtanzania kweli. IGP anatakiwa mtu kama Awadh Juma Haji au Jumanne Muliro, lazima awe very strong, anayeelewa mambo ya siasa na propaganda zake.
Hizi propaganda za utekaji tungekuwa na IGP strong zingeshamalizwa. IGP lazima atoe majibu ya kila tukio kubwa la kitaifa yeye mwenyewe siyo msemaji wa jeshi la polisi. Hayati Mkapa ana akili sana kumweka Omar Mahita, sitamsahau Mahita aliituliza CUF, CUF ilikuwa chama korofi sana.
Simon Sirro anajua mikakati ila alishindwa kumtambua Samia km Rais. Mh. Rais weka IGP mwenye ujasiri wa hali ya juu, anayejua siasa za ndani na nje ya nchi, msomi wa hali ya juu. Naona Awadh Juma Haji anafiti