nicholasmari
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 1,939
- 1,257
Huyo Awadh yupo kwenye list ya watu wa kufikishwa ICC. Siku si nyingi atanyakuliwa na British SAS au Navy Seal na kupelekwa The Hague.Huyu IGP wa sasa Camilius Wambura mbona hata kuongea Kiswahili hawezi, ni mtanzania kweli. IGP anatakiwa mtu km Awadh Juma Haji au Jumanne Muliro, lazima awe very strong, anayeelewa mambo ya siasa na propaganda zake. Hizi propaganda za utekaji tungekuwa na IGP strong zingeshamalizwa. IGP lazima atoe majibu ya kila tukio kubwa la kitaifa yeye mwenyewe siyo msemaji wa jeshi la polisi. Hayati Mkapa ana akili sana kumweka Omar Mahita, sitamsahau Mahita aliituliza CUF, CUF ilikuwa chama korofi sana. Simon Sirro anajua mikakati ila alishindwa kumtambua Samia km Rais. Mh. Rais weka IGP mwenye ujasiri wa hali ya juu, anayejua siasa za ndani na nje ya nchi, msomi wa hali ya juu. Naona Awadh Juma Haji anafiti
Dawa nikuyafanyia FUJO,KEBEHI,MATUSI ,VURUGU, DHIHAKA,MAJIGAMBO MPAKA YACHOKEKwa Nini Sasa hivi jamii forum wameongezeka matahira?Inahitajika kufanyiwa kwa utafiti ili kuzuia hii hali
Sawa SawaHuyo Awadh yupo kwenye list ya watu wa kufikishwa ICC. Siku si nyingi atanyakuliwa na British SAS au Navy Seal na kupelekwa The Hague.
Bookmark this.
IGP kama hayupo nchi hii.Huyu IGP wa sasa Camilius Wambura mbona hata kuongea Kiswahili hawezi, ni mtanzania kweli. IGP anatakiwa mtu km Awadh Juma Haji au Jumanne Muliro, lazima awe very strong, anayeelewa mambo ya siasa na propaganda zake. Hizi propaganda za utekaji tungekuwa na IGP strong zingeshamalizwa. IGP lazima atoe majibu ya kila tukio kubwa la kitaifa yeye mwenyewe siyo msemaji wa jeshi la polisi. Hayati Mkapa ana akili sana kumweka Omar Mahita, sitamsahau Mahita aliituliza CUF, CUF ilikuwa chama korofi sana. Simon Sirro anajua mikakati ila alishindwa kumtambua Samia km Rais. Mh. Rais weka IGP mwenye ujasiri wa hali ya juu, anayejua siasa za ndani na nje ya nchi, msomi wa hali ya juu. Naona Awadh Juma Haji anafiti
yote mauaji unampigia nugu yako debe eh!Huyu IGP wa sasa Camilius Wambura mbona hata kuongea Kiswahili hawezi, ni mtanzania kweli. IGP anatakiwa mtu km Awadh Juma Haji au Jumanne Muliro, lazima awe very strong, anayeelewa mambo ya siasa na propaganda zake. Hizi propaganda za utekaji tungekuwa na IGP strong zingeshamalizwa. IGP lazima atoe majibu ya kila tukio kubwa la kitaifa yeye mwenyewe siyo msemaji wa jeshi la polisi. Hayati Mkapa ana akili sana kumweka Omar Mahita, sitamsahau Mahita aliituliza CUF, CUF ilikuwa chama korofi sana. Simon Sirro anajua mikakati ila alishindwa kumtambua Samia km Rais. Mh. Rais weka IGP mwenye ujasiri wa hali ya juu, anayejua siasa za ndani na nje ya nchi, msomi wa hali ya juu. Naona Awadh Juma Haji anafiti
Wambura ni mstaarabu sana na mtendaji yeye sio muongeaji ila mfuatiliaji sana wa vitu nadhani ndo maana kawekwa hapo , pia anapenda sana haki sio muoneaji na u IGP unataka mtu wa aina hiyoHuyu IGP wa sasa Camilius Wambura mbona hata kuongea Kiswahili hawezi, ni mtanzania kweli. IGP anatakiwa mtu kama Awadh Juma Haji au Jumanne Muliro, lazima awe very strong, anayeelewa mambo ya siasa na propaganda zake.
Hizi propaganda za utekaji tungekuwa na IGP strong zingeshamalizwa. IGP lazima atoe majibu ya kila tukio kubwa la kitaifa yeye mwenyewe siyo msemaji wa jeshi la polisi. Hayati Mkapa ana akili sana kumweka Omar Mahita, sitamsahau Mahita aliituliza CUF, CUF ilikuwa chama korofi sana.
Simon Sirro anajua mikakati ila alishindwa kumtambua Samia km Rais. Mh. Rais weka IGP mwenye ujasiri wa hali ya juu, anayejua siasa za ndani na nje ya nchi, msomi wa hali ya juu. Naona Awadh Juma Haji anafiti
Siku ile IGP Anatoa tamko la LOCKDOWN niliona mikono ikitetemeka....Wambura ni mstaarabu sana na mtendaji yeye sio muongeaji ila mfuatiliaji sana wa vitu nadhani ndo maana kawekwa hapo , pia anapenda sana haki sio muoneaji na u IGP unataka mtu wa aina hiyo
Siku ile IGP Anatoa tamko la LOCKDOWN niliona mikono ikitetemeka....Wambura ni mstaarabu sana na mtendaji yeye sio muongeaji ila mfuatiliaji sana wa vitu nadhani ndo maana kawekwa hapo , pia anapenda sana haki sio muoneaji na u IGP unataka mtu wa aina hiyo