IGP Camillus Wambura, Mkamateni Masanja na Mkewe Monica. Mkuu wa Kituo cha Polisi Kawe apishe Uchunguzi

Kama ni kweli kamtumia mke wa masanja private, nani ameisambaza?
Kwa akili ya kawaida mke asingeweza kumuonyesha mtu.
Unanifurahisha unavyo jenga hoja.
 
Tuseme kweli ilikuwa planned ameuliwa...
Iweje barua aliyoiacha imchafue mke wa jamaa?
Yaani wapange halafu mke achafuliwe kiasi hicho na hakuna ukweli wowote. Hebu nifungue akili...
Na wachafuliwaji hawajatoa neno[emoji849][emoji849]. Naungana nawe. Tangu jana sijakubaliana na hili
 
Hii issue ni kubwa kuliko walivyoiweka, inawezekana wameamua kumnyamazisha jamaa kwa sababu tofauti kabisa, ila kwa akili za wabongo tunabaki kudiscuss picha kama ilivyowekwa!!

Ila Masanja ataishia pabaya kuliko anavyodhani, maana kwanza Mungu hafanyiwi maigizo akanyamaza na pili damu ya mtu haiendi bure!!
 
Mi nafikiri huu uchungu ulio nao,Anza na watu wa ccm,mwambie huyo Wambura,waliompiga risasi Lisu wapo wapi?waliomuua Mawazo wapo wapi?Azory Gwanda yupo wapi?muulize pia wale waliouliwa Kule msoma kisa ni majambazi,ushahidi upo wapi?polisi wanaua kila siku,hujapiga kelele,usilete uchungu wa kinafki,watu kama nyie sio kwamba mnauchungu na huyo katibu,uchungu utoke wapi wakati maisha yenu tu ni machungu balaaa,
Unaona Gere kijana ana ukwasi mrefu sasa mnataka aporomoke kwa kisa hiki
 
Jana wakati nachek ibada kanisami kwa masanja nikashtuka anayeendesha ibada na kufungisha ndoa ni mwingine dah kumbe.Athari ya hili waumini kupunguwa,kudharau na msongo wa mawazo kwa wahusika na penzi kuyumba.
 
Bangi mbaya. Dah!
 
hiyo ni murder/killing.

Assassination ni mauaji yanayohusisha kiongozi/memba wa kisiasa.
 
Acha uzwazwa !! haiwezi kuachwa kufanya uchunguzi eti kwa vile tu kuna vingine vimepita havijafanyiwa uchunguzi..tatizo lililopo sasa litatuliwe kwanza.Halafu hizi tabia za tumuachie Mungu kwanini ngozi nyeusi ndio tunazo sana??? hivi huyu mungu anatupenda sana sisi watu weusi kuliko hao wengine??? Mie naweza sema dini ndio zimetufanya waafrika tukawa maskini wa akili na vitu maana kila kitu tumuachie Mungu kumbe kuna vingine tunaweza kuvitatua wenyewe. Hii issue ya Masanja, ni wajanja wachache ndio wanaona kuna mchongo hapo wa kupoteza kesi lakini wengi wa wabongo wanajua kajiua shauri ya kumchapa mke wa Masanja.. jamaa wametumia mbinu za kijasusi, si watu wala polisi wanaukubali huo ujumbe fake wa marehemu.
 
Hakika hii post ni ya mtu aliyeenda shule!
 
Umenena!
Something is not right somewhere
 
Marehemu hachafuki but story inaonyesha kama marehemu alikuwa akiiba mke ama nakosea!?
Mkuu, kwanza je tu uhakika hiyo story inatoka kwa marehemu? Hizo sms ni kweli ziliandikwa na marehemu? Na kama ziliandikwa na marehemu zinaonesha zilikuwa zikienda kwa Monica, je nani alizisambaza? Monica? Au marehemu mwenyewe kabla ya kutoa uhai wake?

Kifo chochote kinachotiliwa shaka ni muhimu kikachunguzwa ili kuondoa hayo mashaka.

Kwa uwezo wangu mdogo wa kufikiri, hainiingii akilini kabisa. Mawazo ya mleta hoja ingependeza sana kama yangefanyiwa kazi.
 
Afadhali hata angekuwa mrembo mwanamke mwenyewe sura kama Kibu Dennis kakosa goli la wazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…