Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Njoo hapa free church Mkuu,sio "unga" tu,tutakupa na kiburudisho mwanawaneMkuu unaweza kuniunganisha naye?
Nahitaji unga wa muhogo kwa ajili ya ugali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo hapa free church Mkuu,sio "unga" tu,tutakupa na kiburudisho mwanawaneMkuu unaweza kuniunganisha naye?
Nahitaji unga wa muhogo kwa ajili ya ugali
Tatizo polisi wa bongo na wabongo wenyewe akili zao wanazijua wenyewe, polisi hawawezi hata kujiongeza kidogo kufanya uchunguzi sana sana wataconclude kajiua tu. Na kuna kitu hapo. Aidha jamaa knows too much sasa imebidi wamsilence au ni kweli anapiga mke wa jamaa imegundulika wameamua kumpoteza.Something is not right somewhere.Kifo cha yule dogo kimekaa kimkakati! Nimepitia page ya dogo sioni uwezekano wa kujiua kwasababu za kizembe vile.
Alafu inasemekana ujumbe alituma kwa mama yake, marafiki zake kabla hajajiondoa na ukisoma ujumbe wenyewe sioni kabisa uwezekano wa kuandikwa na yule dogo.
Polisi wafatilie kwa undani, kuna jambo halijakaa sawa kabisa! Isijekuwa dogo kaondoshwa sababu nyingine nje ya mapenzi ikiwemo biashara haramu.
Watu hawampendi masanja kwasababu ya uchawa wake kwa ccm sijaona sababu nyingine.Mkuu,sasa hivi ukifuatilia mitandaoni kila mtu anafurahi yaliyomkuta masanja,hakuna mtu anafikiria kiundani,huenda kama mkandamizaji ndiye kafanya hayo alijua kabisa watu wengi hawampendi hivo watafurahi na hakutokuwa na uchunguzi
Ni ngumu sana wamchunguze,hapa Africa utachungunzwa endapo tu kama ulikuwa na ugomvi wa wazi na marehemu
hata mm sikupatiPoa. Nipigie telegram ndo napatikana kwa sasa.
Mambo ni mengi mkuu,wacha tusibiri mazishi, Masanja naye kasema anakwenda msibaniWatu hawampendi masanja kwasababu ya uchawa wake kwa ccm sijaona sababu nyingine.
Kama ni yeye kafanya hlf amchafue mke wake kiasi hicho na bado aendelee kuwa naye, inafikirisha sana.
Hasira mbaya sana unaweza kujikuta unafanya tukio la ajabu bila kutegemeaKuna mtu anaweza kufanya uhuni huo na kumchafua mkewe kweli?
Utata upo jinsi alivyojiua na huo ujumbe,, na watu kusema ni masanja kafanya.Imagine wewe ungekuwa mwanaume, mtu akulie papuchi yako alafu ajiue, unapata wapi nguvu ya kumpost mkeo mtandaoni na kumwambia unampenda, na kesho yake huko WhatsApp unahamasisha watu mwende mkamzike mume mwenzio
Pastor naye ajifunze kuwa na akiba ya maneno maana mbwembwe nyingi na akasahau kuwa chamtu ukiwa na mtu na chuma ukiwa na kutuMambo ni mengi mkuu,wacha tusibiri mazishi, Masanja naye kasema anakwenda msibani
Ila kuna funzo hapo, uchawa na kuweka maisha binafsi mitandaoni ni kujitengenezea bomu, ingekua ni mke wa joti kaliwa watu wasingecheka
Ndio mana kuna member hapo juu kasema hasira ni mbaya, umesahau yale mauaji tunayosoma kila siku humu ? Wivu wa mapenzi unafanya mtu anafanya kitu ambacho sisi hatuwezi kuelewaUtata upo jinsi alivyojiua na huo ujumbe,, na watu kusema ni masanja kafanya.
Iweje aue, na barua iweke wazi chanzo ni mke wake?
Huoni kama ameweka sababu ya watu kumshuku na kumhusisha na mauaji? Why afanye hivyo?
Sio rahisi.Hasira mbaya sana unaweza kujikuta unafanya tukio la ajabu bila kutegemea
😁Jamaa yule ana maneno ya kejeli sana, anayopitia kajitakiaPastor naye ajifunze kuwa na akiba ya maneno maana mbwembwe nyingi na akasahau kuwa chamtu ukiwa na mtu na chuma ukiwa na kutu
Ah kbsMimi mwanaume mwenzangu yakimfika siwezi mbeza leo kwake kesho kwako. Maisha yanaweza badilika wakati wowote au unaweza kutwa na chochote historia ikabadilika