Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bongo kila kitu kinawezekana, makanisa yamekua vichaka vya uovuTuseme kweli ilikuwa planned ameuliwa...
Iweje barua aliyoiacha imchafue mke wa jamaa?
Yaani wapange halafu mke achafuliwe kiasi hicho na hakuna ukweli wowote. Hebu nifungue akili...
Hilo lipo wazi. Lakini hii kesi inafikirishaBongo kila kitu kinawezekana, makanisa yamekua vichaka vya uovu
Sana. Hata mimi nimewaza ila watajuana wenyewe kwa kweli ngoja tukae pembeni tuangalieHilo lipo wazi. Lakini hii kesi inafikirisha
Naomba jina la page yake nikamuangalie marehemuKifo cha yule dogo kimekaa kimkakati! Nimepitia page ya dogo sioni uwezekano wa kujiua kwasababu za kizembe vile.
Alafu inasemekana ujumbe alituma kwa mama yake, marafiki zake kabla hajajiondoa na ukisoma ujumbe wenyewe sioni kabisa uwezekano wa kuandikwa na yule dogo.
Polisi wafatilie kwa undani, kuna jambo halijakaa sawa kabisa! Isijekuwa dogo kaondoshwa sababu nyingine nje ya mapenzi ikiwemo biashara haramu.
Kiini cha matatizo ya dunia: Money, Women, Lust and unchecked ambition.Inawezekana hata sababu isiwe mapenzi,
Ya Dunia mengi mno.
We unajua maumivu ya kusalitiwa. Itagoma pindi hujali chochote Nini kimpate msaliti wako.Hakuna mtu mwenye akili chafu aaue mgoni wake kisha amchafue mkewe wake.
Hio barua tu tayari ni kasfa bila kujali alikuwa anakula
Vipi kama tayari kulikuwa na rumors? Kukiwa na rumors kwamba fulani anakula mkeo huwezi mdedisha huyo mwamba usidakwe,njia nyepesi ni hiyo barua iandikwe alafu aonekane amejiua mwenyeweTuseme kweli ilikuwa planned ameuliwa...
Iweje barua aliyoiacha imchafue mke wa jamaa?
Yaani wapange halafu mke achafuliwe kiasi hicho na hakuna ukweli wowote. Hebu nifungue akili...
Kama kulikuwa na rumours asingemdedisha halafu chanzo kiwe hicho na barua iandikwe hivyo, huoni ni kama anajishtaki watamchunguza?Vipi kama tayari kulikuwa na rumors? Kukiwa na rumors kwamba fulani anakula mkeo huwezi mdedisha huyo mwamba usidakwe,njia nyepesi ni hiyo barua iandikwe alafu aonekane amejiua mwenyewe
Mkandamizaji inasemwa toka zamani anauza unga wa azam
Vipi kama tayari kulikuwa na rumors? Kukiwa na rumors kwamba fulani anakula mkeo huwezi mdedisha huyo mwamba usidakwe,njia nyepesi ni hiyo barua iandikwe alafu aonekane amejiua mwenyewe
Mkandamizaji inasemwa toka zamani anauza unga wa azam
Ndio hawa?! Nieleweshe Mie sipo huko daslamu
Mkuu,sasa hivi ukifuatilia mitandaoni kila mtu anafurahi yaliyomkuta masanja,hakuna mtu anafikiria kiundani,huenda kama mkandamizaji ndiye kafanya hayo alijua kabisa watu wengi hawampendi hivo watafurahi na hakutokuwa na uchunguziKama kulikuwa na rumours asingemdedisha halafu chanzo kiwe hicho na barua iandikwe hivyo, huoni ni kama anajishtaki watamchunguza?
Mapowudaaaaaa (kwa sauti yake yeye masanja)🤣Ongeza nyama kwenye ujumbe wako
Nini eti unga wa Azam 😃😃
Mkuu unaweza kuniunganisha naye?Vipi kama tayari kulikuwa na rumors? Kukiwa na rumors kwamba fulani anakula mkeo huwezi mdedisha huyo mwamba usidakwe,njia nyepesi ni hiyo barua iandikwe alafu aonekane amejiua mwenyewe
Mkandamizaji inasemwa toka zamani anauza unga wa azam
Imagine wewe ungekuwa mwanaume, mtu akulie papuchi yako alafu ajiue, unapata wapi nguvu ya kumpost mkeo mtandaoni na kumwambia unampenda, na kesho yake huko WhatsApp unahamasisha watu mwende mkamzike mume mwenzioKama kulikuwa na rumours asingemdedisha halafu chanzo kiwe hicho na barua iandikwe hivyo, huoni ni kama anajishtaki watamchunguza?