Dah kuna mwamba mmoja hapa mtaani kwetu nakumbuka alienda kuiba nyumbani kwa said mwema pale upanga pamoja na ulinzi wote ule.Kwangu mimi mpaka kesho namkubali sana Afande Said Mwema, pale tulipata IGP! Jamaa ni mchapa kazi mzuri ambaye aliamua kulirudisha jeshi kwa raia yaani ule ushirikiano wa Askari na Jamii. Mwana jf mwenzangu wewe ulimkubali IGP yupi? Na kipi kilikuvutia kwa IGP huyo?
RPC DarHivi Alfred tibaigana alikuwa igp?