ESCORT 1
JF-Expert Member
- Dec 7, 2015
- 1,412
- 3,043
Kwangu mimi mpaka kesho namkubali sana Afande Said Mwema, pale tulipata IGP! Jamaa ni mchapa kazi mzuri ambaye aliamua kulirudisha jeshi kwa raia yaani ule ushirikiano wa Askari na Jamii. Mwana jf mwenzangu wewe ulimkubali IGP yupi? Na kipi kilikuvutia kwa IGP huyo?