IGP Koome ajiuzulu, Ruto aridhia kujiuzulu kwake

Kwa wasio na MBs za kutosha:-

IGP alijaribu kushauri watu wapunguze pombe kwasabb inaharibu maini, akajibiwa kuwa "maini yanafanya nini kwenye njia ya pombe? Inabidi maini yakae pembeni ili pombe ipite'
 
Tanzania we are way back primitive we shall go through this stage probably after 100 years to come
... you just missed it Joe! ... we went through it more than a hundred years ago when we fought the MAJIMAJI WAR! ... AND, ALAS!, YOU FEEL LIKE KENYANS ARE ENJOYING THAT 'NEW DEVELOPMENT'!
😅 PATHETIC!
 
Wameruhusu mirungi, na mibangi kwa vijana wanategemea nini? Product ndio hiyo
 
... you just missed it Joe! ... we went through it more than a hundred years ago when we fought the MAJIMAJI WAR! ... AND, ALAS!, YOU FEEL LIKE KENYANS ARE ENJOYING THAT 'DEVELOPMENT'!
😅 PATHETIC!
No, you are pathetically wrong! Maji Maji war was not against poor governance but against white rule, just like Mau Mau.
 
Huyu si ndiye alikuwa anatoa kashfa na matamshi ya ovyo kuwa "ukinifata nikiwa na silaha ntakuhudumia" kiko waapi 😆
 
My Tanzania 🙃
 
Tanzania we are way back primitive we shall go through this stage probably after 100 years to come
So you mean we are primitive because our people don't entertain looting na kuvuta bangi/madawa na kufanya vitendo vya kijambazi kama ambavyo IG wa Kenya anaeleza kwenye video clip hapo juu?? Are you real serious with your life!!? Au na wewe ni mmoja wa wauza madawa na watumia madawa!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…