IGP Mahita: Said Mwema alipewa u-IGP kwa figisu

IGP Mahita: Said Mwema alipewa u-IGP kwa figisu

IGP mstaafu, ndugu Omary Mahita, amenukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari, akidai, kuteuliwa kwa mrithi wake ndugu Said Mwema kuligubikwa na figisu za kujuana baina ya Kikwete na Mwema

"Mapendekezo yangu yalikuwa Adadi ama Mwansasu. Huenda kwa sababu Mwema alikuwa ameoa kwenye ukoo wa Kikwete, pengine uteuzi wake ulihanikizwa nalo, labda. Na hata Kikwete alinitamkia bayana, mimi nibaki kupendekeza Makamishina pekee na u-IGP nimwachie yeye na niliamua kuondoka zangu". Mahita

Huyu Mzee msimuite kwenye public inaonekana anavuta bangi.

Hayo yote ya nini na yeye ni mstaafu? Hovyo kabisa huyu
 
Hivi IGP wa sasa anaitwa nani?? mbona amepwaya sana. Au ndio huyo anaesikika sana akiitwa Muliro.?
Mahita enzi zake alikuwa anakodisha hadi silaha kwa magenge yabujambazi halafu wanampa commission. Hata ile issue ya wachimba madini wa Mahenge akina Chigumbi alikuwa na mkono wake
 
Mahita enzi zake alikuwa anakodisha hadi silaha kwa magenge yabujambazi halafu wanampa commission. Hata ile issue ya wachimba madini wa Mahenge akina Chigumbi alikuwa na mkono wake
Nimelishangaa kwakweli hilo zee na kulishusha Hadi chini mavumbini kabisa. Hoja za sijui saidi mwema ameona mtoto wa Kikwete naona ni za kitoto na kilofa mno kuweza kuongelewa na mtu aliyewahi kushika cheo Cha juu kama Cha IGP. Ushubwada kama huo ulipaswa uongelewe na watu wa levo za chini kama heche, mnyika au golugwa, si IGP

All in all, JK sijui ana bahati gani maana Kila wanavyojitahidi kumchafua basi mwamba anasafishika mwenyewe kiulaini kabisa.......Mahita linamtoka povu kwa jk lakini bila kutarajia raia, wakiwemo na haters wake, wanakubali kuwa mwema alikuwa IGP Bora kabisa. Credit inaenda kwa Kikwete aliyemteua......maana yake alijua anateua nini. JK ni noma Kwakweli.
 
IGP mstaafu, ndugu Omary Mahita, amenukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari, akidai, kuteuliwa kwa mrithi wake ndugu Said Mwema kuligubikwa na figisu za kujuana baina ya Kikwete na Mwema

"Mapendekezo yangu yalikuwa Adadi ama Mwansasu. Huenda kwa sababu Mwema alikuwa ameoa kwenye ukoo wa Kikwete, pengine uteuzi wake ulihanikizwa nalo, labda. Na hata Kikwete alinitamkia bayana, mimi nibaki kupendekeza Makamishina pekee na u-IGP nimwachie yeye na niliamua kuondoka zangu". Mahita

Siku ya mwisho kila goti litapigwa
 
Uzuri wa Mahita ana authority amri. Ana karma ya kuongoza akitamka unatii. Na hiyo ndio hulka ya kiongozi bora. Hawa pia wana hiyo hulka ya authority Magufuli, Makonda, Kigwangala, mwigulu lakini tatizo hawakutumia ama hawatumii hii karama yao vizuri.

Tuna boss wetu mmoja huku kwa kubeba box naye anayo hii karama. Kila tukimuona tunapanic.

"He who wishes to be obeyed must know how to command" Niccolo Machiavelli, The Prince.
Makonda labda kwa wale vijana wanajiita wadudu , Kigwangala battle yake na katibu mkuu ilimtoa kwenye uwaziri , mwigulu. Hawa hakuna kitu wataambia raia watekeleze, ni aina ya viongozi ambao mipango matendo 0
 
Said Mwema ndiye alikuwa the most qualified zaidi ya hao wote mpaka kimataifa kwa sababu wakati anateuliwa kuwa IGP alikuwa anatoka Interpol.
Mkuu si kweli kufanya kazi Interpol hakujufanyi ndio uwe na sifa ya kuwa IGP hao aliowapendekeza Mzee Ngunguri walikuwa ni wakubwa kikazi kwa Said Mwema, hao walikuwa CP na Mwema alikuwa chini yao, kama Ngunguri alikuwa IGP basi hizo sifa za Mwema kuwa Interpol sio kigezo, hapo ulitumika uswahili tu, na magokeo ndio akina Lugumi
 
Katika mfumo wa meritocracy kuwa mkubwa kikazi pia si kigezo cha kuwa IGP. Kwa sababu unaweza kuwa mkubwa ukaonekana umeharibu kazi.

Rais anatakiqa kuteua kati ya Pilisi wenye vyeo vya juu juqa IGP. Hatakiwi kumteua Polisi mwwnye cheo cha juu kabisa.

Soma hapa.

"Constitutional Authority: Under the Constitution of the United Republic of Tanzania, the President holds the sole constitutional authority to appoint the head of the Police Force.

Direct Appointment: The president announces the selection of a high-ranking police official (typically a Commissioner or DCI) to fill the role."

Mtu anaweza kusema Kikwete alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje kwa miaka 10 kabla hajawa rais na aliona umuhinu wa kumteua mtu mwenye profile ya kimataifa zaidi kuwa IGP.

Mahita alivyosema ni kama vile Kikwete kamchagua Mwema kwa sababu tu Mwema ni ndugu yake, wakati Mwema alikuwa na credentials mpaka za kufanya kazi Interpol.

Kifupi.

1. Kikwete hakumteua mtu ambaye hana vigezo kuwa IGP.

2. Mwema kuoa kwenye ukoo wa Kikwete haku m disqualify kuwa IGP.

3. Said Mwema alifanya kazi kubwa na nzuri alivyokuwa IGP na alionesha kuwa Kikwete alifanya uteuzi sahihi.

4. Said Mwema was a far better IGP kumlinganisha na huyo msema ovyo Mahita.

5. Uteuzi wa IGP ni discretion ya rais.
 
IGP mstaafu, ndugu Omary Mahita, amenukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari, akidai, kuteuliwa kwa mrithi wake ndugu Said Mwema kuligubikwa na figisu za kujuana baina ya Kikwete na Mwema

"Mapendekezo yangu yalikuwa Adadi ama Mwansasu. Huenda kwa sababu Mwema alikuwa ameoa kwenye ukoo wa Kikwete, pengine uteuzi wake ulihanikizwa nalo, labda. Na hata Kikwete alinitamkia bayana, mimi nibaki kupendekeza Makamishina pekee na u-IGP nimwachie yeye na niliamua kuondoka zangu". Mahita

Kikwete ni kjitu Ovyooo sana.

Kimeumiza sana nchi hii, na mpaka leo.
 
Mshana, Mahita akiwa nje ya Gwanda ni mtu mmoja safi sana, tokea akiwa IGP. Ila alipokuwa kazini amevaa Gwanda ahhh ni kauzu.

Miaka fulani huko nlichezaga faulo fulani sasa nikasema niende nikamuone tuone namna ya kulimaliza; nikampigia simu kweli akanipa appointment maana alishanijuwa mimi mtoto wa mzee fulani maana si alikuwa anajuana na mzee.

Mzee alimjua Mahita tokea yuko Mwadui, Mkuu wa police post huko Mwadui na mzee wangu Mwadui mine alikuwa taita.

Sasa kosa langu nlimzunguka mzee wangu nkamfata mzee Mahita bila mshuwa kujua.

Ahh kumbe Mahita alimtonya mzee mwanao kaja alikuwa na 1,2,3 😄 msala
Mzee Mahita akanisikiliza, ahh nlijikuta napelekwa central 😄 pale nlikaa siku 3 baadae nkatolewa.

Badaye mambo yalimalizwa juu juu ila adabu walinionjesha, nkajua mshuwa ndiye aliagiza waninyooshe

Ova
Aisee Mahita alifanya kazi na mdingi wangu....
Sitamsahau, waliteka jeneza la mzee wangu na kutuweka kando, alileta kikosi kimevalia nguo rasmi za mazishi ya mjeshi mwenzao, wakaondoka nae, na kumzika huku tumekaa pembeni, na wakaziwasha risasi za kutosha za heshima....
Kila siku nasema nikipata muda nimtafute na kutoa shukrani, na sasa kumuona hapa, hii itakuwa ni project yangu kama ataendelea kuwa na maisha marefu.....
 
Aise,muibukie kwake mbezi beach au nkutumie # yk pm
😄

Ova
 
Aisee Mahita alifanya kazi na mdingi wangu....
Sitamsahau, waliteka jeneza la mzee wangu na kutuweka kando, alileta kikosi kimevalia nguo rasmi za mazishi ya mjeshi mwenzao, wakaondoka nae, na kumzika huku tumekaa pembeni, na wakaziwasha risasi za kutosha za heshima....
Kila siku nasema nikipata muda nimtafute na kutoa shukrani, na sasa kumuona hapa, hii itakuwa ni project yangu kama ataendelea kuwa na maisha marefu.....
Naktumia pm

Ova
 
Mzee apumzike tu naona ule ugonjwa wa "anencephaly" unadhihiri. Hasira kwa JK ni nyingi sana kwa kuwa mnamo December 2005, JK alimtembelea nyumbani kwake Ukonga na kumkuta na magari zaidi ya 20 aliyokuwa anapora kutoka kwa waliopora huko South Africa. Magari yote yalikusanywa na kupelekwa TEMESA kwa kuwa hakuwa na maelezo ameyapataje. Maita, Adadi na Tibaigana wali run a 'rogue Plice Unit* within the Police Force. Wakikamata magari yaliyoibiwa kwanza walikuwa wanagawana wao
Hivi Adadi aliyekuwa anamzungumzia ni yule ex-MP wa Muheza?
 
Back
Top Bottom