ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Huyu Mzee msimuite kwenye public inaonekana anavuta bangi.IGP mstaafu, ndugu Omary Mahita, amenukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari, akidai, kuteuliwa kwa mrithi wake ndugu Said Mwema kuligubikwa na figisu za kujuana baina ya Kikwete na Mwema
"Mapendekezo yangu yalikuwa Adadi ama Mwansasu. Huenda kwa sababu Mwema alikuwa ameoa kwenye ukoo wa Kikwete, pengine uteuzi wake ulihanikizwa nalo, labda. Na hata Kikwete alinitamkia bayana, mimi nibaki kupendekeza Makamishina pekee na u-IGP nimwachie yeye na niliamua kuondoka zangu". Mahita
Mahita enzi zake alikuwa anakodisha hadi silaha kwa magenge yabujambazi halafu wanampa commission. Hata ile issue ya wachimba madini wa Mahenge akina Chigumbi alikuwa na mkono wakeHivi IGP wa sasa anaitwa nani?? mbona amepwaya sana. Au ndio huyo anaesikika sana akiitwa Muliro.?
Tuelezee kuhusu meya wa Dar, Sheta na huyo Mahita.Iweke Hivi
Said Mwema ameoa kwa Familia ya JK
Saidi Lugumi ameoa kwa Familia ya Mwema
Mwema na JK wamempa KAZI Lugumi
Umeona ee?!!๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃHuyu Mzee msimuite kwenye public inaonekana anavuta bangi.
Hayo yote ya nini na yeye ni mstaafu? Hovyo kabisa huyu
Nimelishangaa kwakweli hilo zee na kulishusha Hadi chini mavumbini kabisa. Hoja za sijui saidi mwema ameona mtoto wa Kikwete naona ni za kitoto na kilofa mno kuweza kuongelewa na mtu aliyewahi kushika cheo Cha juu kama Cha IGP. Ushubwada kama huo ulipaswa uongelewe na watu wa levo za chini kama heche, mnyika au golugwa, si IGPMahita enzi zake alikuwa anakodisha hadi silaha kwa magenge yabujambazi halafu wanampa commission. Hata ile issue ya wachimba madini wa Mahenge akina Chigumbi alikuwa na mkono wake
Siku ya mwisho kila goti litapigwaIGP mstaafu, ndugu Omary Mahita, amenukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari, akidai, kuteuliwa kwa mrithi wake ndugu Said Mwema kuligubikwa na figisu za kujuana baina ya Kikwete na Mwema
"Mapendekezo yangu yalikuwa Adadi ama Mwansasu. Huenda kwa sababu Mwema alikuwa ameoa kwenye ukoo wa Kikwete, pengine uteuzi wake ulihanikizwa nalo, labda. Na hata Kikwete alinitamkia bayana, mimi nibaki kupendekeza Makamishina pekee na u-IGP nimwachie yeye na niliamua kuondoka zangu". Mahita
Makonda labda kwa wale vijana wanajiita wadudu , Kigwangala battle yake na katibu mkuu ilimtoa kwenye uwaziri , mwigulu. Hawa hakuna kitu wataambia raia watekeleze, ni aina ya viongozi ambao mipango matendo 0Uzuri wa Mahita ana authority amri. Ana karma ya kuongoza akitamka unatii. Na hiyo ndio hulka ya kiongozi bora. Hawa pia wana hiyo hulka ya authority Magufuli, Makonda, Kigwangala, mwigulu lakini tatizo hawakutumia ama hawatumii hii karama yao vizuri.
Tuna boss wetu mmoja huku kwa kubeba box naye anayo hii karama. Kila tukimuona tunapanic.
"He who wishes to be obeyed must know how to command" Niccolo Machiavelli, The Prince.
Mkuu si kweli kufanya kazi Interpol hakujufanyi ndio uwe na sifa ya kuwa IGP hao aliowapendekeza Mzee Ngunguri walikuwa ni wakubwa kikazi kwa Said Mwema, hao walikuwa CP na Mwema alikuwa chini yao, kama Ngunguri alikuwa IGP basi hizo sifa za Mwema kuwa Interpol sio kigezo, hapo ulitumika uswahili tu, na magokeo ndio akina LugumiSaid Mwema ndiye alikuwa the most qualified zaidi ya hao wote mpaka kimataifa kwa sababu wakati anateuliwa kuwa IGP alikuwa anatoka Interpol.
Katika mfumo wa meritocracy kuwa mkubwa kikazi pia si kigezo cha kuwa IGP. Kwa sababu unaweza kuwa mkubwa ukaonekana umeharibu kazi.Mkuu si kweli kufanya kazi Interpol hakujufanyi ndio uwe na sifa ya kuwa IGP hao aliowapendekeza Mzee Ngunguri walikuwa ni wakubwa kikazi kwa Said Mwema, hao walikuwa CP na Mwema alikuwa chini yao, kama Ngunguri alikuwa IGP basi hizo sifa za Mwema kuwa Interpol sio kigezo, hapo ulitumika uswahili tu, na magokeo ndio akina Lugumi
Kikwete ni kjitu Ovyooo sana.IGP mstaafu, ndugu Omary Mahita, amenukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari, akidai, kuteuliwa kwa mrithi wake ndugu Said Mwema kuligubikwa na figisu za kujuana baina ya Kikwete na Mwema
"Mapendekezo yangu yalikuwa Adadi ama Mwansasu. Huenda kwa sababu Mwema alikuwa ameoa kwenye ukoo wa Kikwete, pengine uteuzi wake ulihanikizwa nalo, labda. Na hata Kikwete alinitamkia bayana, mimi nibaki kupendekeza Makamishina pekee na u-IGP nimwachie yeye na niliamua kuondoka zangu". Mahita
Hakuna uhusiano wowote kati yao.. nadhani unachanganya na kamanda kova ambayo hata mm sijui vzrTuelezee kuhusu meya wa Dar, Sheta na huyo Mahita.
Hakuna uhusiano wowote kati yao.. nadhani unachanganya na kamanda kova ambayo hata mm sijui vzrTuelezee kuhusu meya wa Dar, Sheta na huyo Mahita.
Aisee Mahita alifanya kazi na mdingi wangu....Mshana, Mahita akiwa nje ya Gwanda ni mtu mmoja safi sana, tokea akiwa IGP. Ila alipokuwa kazini amevaa Gwanda ahhh ni kauzu.
Miaka fulani huko nlichezaga faulo fulani sasa nikasema niende nikamuone tuone namna ya kulimaliza; nikampigia simu kweli akanipa appointment maana alishanijuwa mimi mtoto wa mzee fulani maana si alikuwa anajuana na mzee.
Mzee alimjua Mahita tokea yuko Mwadui, Mkuu wa police post huko Mwadui na mzee wangu Mwadui mine alikuwa taita.
Sasa kosa langu nlimzunguka mzee wangu nkamfata mzee Mahita bila mshuwa kujua.
Ahh kumbe Mahita alimtonya mzee mwanao kaja alikuwa na 1,2,3 ๐ msala
Mzee Mahita akanisikiliza, ahh nlijikuta napelekwa central ๐ pale nlikaa siku 3 baadae nkatolewa.
Badaye mambo yalimalizwa juu juu ila adabu walinionjesha, nkajua mshuwa ndiye aliagiza waninyooshe
Ova
Aise,muibukie kwake mbezi beach au nkutumie # yk pmAisee Mahita alifanya kazi na mdingi wangu....
Sitamsahau, waliteka jeneza la mzee wangu na kutuweka kando, alileta kikosi kimevalia nguo rasmi za mazishi ya mjeshi mwenzao, wakaondoka nae, na kumzika huku tumekaa pembeni, na wakaziwasha risasi za kutosha za heshima....
Kila siku nasema nikipata muda nimtafute na kutoa shukrani, na sasa kumuona hapa, hii itakuwa ni project yangu kama ataendelea kuwa na maisha marefu.....
Shukrani Mkuu๐Aise,muibukie kwake mbezi beach au nkutumie # yk pm
๐
Ova
Musiwe wepesi wa kuhadaika na watu wa system, system hujivuruga yenyewe ili kuwapumbaza watu.Achana na pascal songa mbelenimeliona hili pia kwa P.mayala naona ameamua liwalo na liwe
Naktumia pmAisee Mahita alifanya kazi na mdingi wangu....
Sitamsahau, waliteka jeneza la mzee wangu na kutuweka kando, alileta kikosi kimevalia nguo rasmi za mazishi ya mjeshi mwenzao, wakaondoka nae, na kumzika huku tumekaa pembeni, na wakaziwasha risasi za kutosha za heshima....
Kila siku nasema nikipata muda nimtafute na kutoa shukrani, na sasa kumuona hapa, hii itakuwa ni project yangu kama ataendelea kuwa na maisha marefu.....
Nishakutumia...pmShukrani Mkuu๐
Nipe location ya mtaa, nikifika huko nitaulizia nyumba......
Hivi Adadi aliyekuwa anamzungumzia ni yule ex-MP wa Muheza?Mzee apumzike tu naona ule ugonjwa wa "anencephaly" unadhihiri. Hasira kwa JK ni nyingi sana kwa kuwa mnamo December 2005, JK alimtembelea nyumbani kwake Ukonga na kumkuta na magari zaidi ya 20 aliyokuwa anapora kutoka kwa waliopora huko South Africa. Magari yote yalikusanywa na kupelekwa TEMESA kwa kuwa hakuwa na maelezo ameyapataje. Maita, Adadi na Tibaigana wali run a 'rogue Plice Unit* within the Police Force. Wakikamata magari yaliyoibiwa kwanza walikuwa wanagawana wao