IGP Mahita: Said Mwema alipewa u-IGP kwa figisu

Jaribu kumfuatilia Prof Mkenda, I think ni miongoni mwa Mawaziri ambao wana sifa za urais. Kuanzia alipokua maliasili, kilimo na hata elimu. Sema tu kuna kauli alizotamkiwa akiwa Kilimo pale alipoongelea vibali vya sukari. Hiyo imempunguza kidogo.
 
Huenda agenda zimebadilika,hivyo na uteuzi nao umebadilika
 

Ni ngumi za chembe na ubabe mtupu unaoendelea.
Kuna cha kujifunza hapa...uongozi bado ni dhamana.Sio mali binafsi ya kiongozi. Na ipo siku tutaacha kuwa viongozi, kwa namna yoyote.
Tujifunze kuwa watumishi wa watu.Sio kujiona ni class tofauti...siku zinavyozidi kwenda, mengi zaidi yatajulikana. Itakuwa vizuri kama yatakuwa mazuri.Kama ni mabaya, yanaweza kubadili taswira nzima ya namna ya watu wanavyoongoza.
Tusisahau, kila mtu ipo siku atavuna anayopanda....no matter what
 
Jaribu kumfuatilia Prof Mkenda, I think ni miongoni mwa Mawaziri ambao wana sifa za urais. Kuanzia alipokua maliasili, kilimo na hata elimu. Sema tu kuna kauli alizotamkiwa akiwa Kilimo pale alipoongelea vibali vya sukari. Hiyo imempunguza kidogo.

When you name names....kwenye hii society yetu ni sheeeeda
 
Huyu waziri wa mambo ya nchi za nje ni kilaza kweli kweli, kwa kuropoka yupo kwenye ligi moja na kina Madelu na Makonda. Huyu kavutwa hapo kwa ajili ya baba yake yule mzee Thabit Kombo aliepigwa risasi mguuni wakati wa assassination ya rais wa kwanza Wa Zanzibar Amani Karume, wanarithishana madaraka ukute hio post anaandaliwa aje awe rais wa Zanzibar. Zamani waziri wa mambo ya nchi za nje lazima awe mwanadiplomasia kweli kweli na lugha ya malkia iwe ya ukweli. Sio huyu zee zee zee nyingi.
 
Huyu alikuwa Naibu wa Samia huko SMZ wanajuana hawa.
 
Wana diplomasia wa sahv ni vituko kweli kweli
Mwanadiplomasia lakini exposure zerooooo kabisa

Ova
 
Huyu mzee na yeye ameamua kuchomoa betri! Alikuwa wapi siku zote?
Huyu mzee ni kama mtoto anayejifunza kuongea, kila kinachomjia kichwani lazima akiongee.. hajui vitu vingine inatakiwa vibaki kichwani havina ulazima wa kuviongea... Kuna somewhere watu wanasema "huyu mzee ni Chid Benz mtupu"
 
Hapa amechemka kwelikweli.
 
Huyu mzee ni kama mtoto anayejifunza kuongea, kila kinachomjia kichwani lazima akiongee.. hajui vitu vingine inatakiwa vibaki kichwani havina ulazima wa kuviongea... Kuna somewhere watu wanasema "huyu mzee ni Chid Benz mtupu"
Kuna wakati ulifika&umri
Mambo uliyopitia ,nafsi yako
Inakutuma ulopoke tu

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…