IGP Mahita: Said Mwema alipewa u-IGP kwa figisu

huyu yupo dakika za kukata roho
 
Adadi Rajab, DCI,alikutwa na Tsh3+b kwenye akaunti,mahita mwenyewe uadilifu wake ni questionable
Wengine tulijua mwema, aliyekua interpol,angekua IGP kabla hata kikwete hajaapishwa kama tulivyojua lowasa angekua waziri mkuu
 
BORA HUYO MWEMA ALIKUWW NA COMBINATION NZURI NA MWAMUNYANGE WAKAFANYA MAJESHI YAWE NA HADHI
baada ya hapo wakaja wajinga wajinga tena mpaka leo wao ndio.mafisadi wakubwa kabisa
 
Sema mzee nimempenda, kanyooka kama ruler.
Amesema kabisa matumizi ya risasi za moto kwa raia hapana, ni kuwapiga mabomu ya kuwapiga risasi za rubber, wataanguka huko n.k
Wakati cuf wanafumuliwa risasi za moto na polisi kule Zanzibar yeye alikua IGP
 
Huu ni uongo mtupu, magari zaidi ya 20 nyumbani kwake hio imekua yard ya magari ?? Unataka kumsafisha Kikwete tu, ila ukweli utabaki serikali yake ilikua ya kishkaji sana ndio mwanzo wa kuanguka maadili kwa nchi yalipoanzia.
Hiyo ni kweli,we unadhani ana nyumba ya vyumba vinne na sebule?
 
Mapolisi waliofanya kazi naye wanasema Said Mwema alilipeleka jeshi kwa standards fulani za kufuata GPO (General Police Order)hivi ambazo kwa sasa zinapotea.
Inaitwa Police General Order (PGO). Said Mwema ndiye aliyeifanyia marejeo na kuitoa kwa umma mwaka 2006.
 
Inaitwa Police General Order (PGO). Said Mwema ndiye aliyeifanyia marejeo na kuitoa kwa umma mwaka 2006. View attachment 3597403
View attachment 3597391
Exactly.

Ina maana hao kina Mahita wote wanaosema Mwema kapewa u IGP kwa figisu walikuwa wanaendesha jeshi kiholela bila hata PGO kujulikana, si tu kwa raia, hata polisi wenyewe walikuwa hawaijui PGO.

Kuna rafiki yangu ni Polisi wa zamani anasema kabisa kuwa zamani kabla ya Mwema walikuwa wanafundishwa kuhusu PGO bila hata wao wenyewe kuiona PGO.

Sasa kwa hili tu unaanza kuona muelekeo wa kuongeza professionalism wa Said Mwema kama IGP.

Mtu kama Mahita lazima asimpende Said Mwema na kumuwekea maneno ya shombo, kwa sababu kina Mahita ndio waliotaka PGO isijulikane, kwa sababu PHO inamtaka polisi afanye kazi kisheria, kwa utaratibu, Mahita alitaka jeshi la pigapiga, jeshi la ukatili, jeshi la kuogopwa tu.

Ndiyo maana anamletea maneno ya shombo Said Mwema.

Na Said Mwema kwa sasa hataki kujishughulisha na mambo ya siasa tena katulia tu, amekuwa mtu wa kupiga aya sana, huwezi kumsikia akimjibu Mahita.
 
Duh Tibaigana siamini.
 
Kimsingi nepotism ilipewa mbolea na kukuzwa sana na jekee, hadi sasa hamna aibu tena ya kuweka mtoto na mkwe kuwa mawaziri bila aibu yoyote, mkikutana dinner ya familia mnapanga tu nani analeta figisu akatwe kichwa na kuagiza fasta kichwa cha yohana mbatizaji kiletwe mezani!
 
Ule upanga wa dhahabu wa polisi uliibiwa chini ya mahita au mwema. Na mpk leo zile taarifa kimya sijui ss hivi wametengeneza wa miti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…