Troubleshooter
Senior Member
- Mar 30, 2016
- 120
- 136
Aibu sana,miradi mingi ya africa hufa kwa sababu kama hizo.Plan ya mradi ilikuaje juu ya gharama za internet?hao hao wanaenda kwenye vyombo vya habari kuwa wamefanikiwa kuvuka lengo la makusanyo ya fainiSwali La Ziada, Kwanini Jeshi La Polisi Linashindwa Kuwalipa TTCL Gharama Za Intaneti Hadi Wanakatiwa Huduma?
Mama kilango ilikuwaje?Nahofia isije kuwa kama ya mama Kilango
Ohoo iyo ndo inaisha na sterring bwana said hajafa ad mwishoNa waooo! Movie imeanza!
Kwa kuwa ni zao la mswahili?Anatumbuliwa muda si mrefu huyo. Very soon!
Teeeeeeeeh teeeeeeeeh, naona picha ya govinda ndio inaendelea adui akiwa shaktiSasa wanawekaje vifaa vinavyohitaji internet kwenye vituo ambavyo havina internet?hapa ni jipu, aliyebuni mradi huo kabla ya kuhakikisha internet inapatikana ndio jipu lenyewe.
Ni kweli mkuu tena ni bora angekaa kimya angejijengea heshima kubwa, lakini kumbuka Magufuli anakumbuka fadhila kwa kazi aliyofanya kwenye kampeni anaweza kufumba macho akamlinda kama alivyopata kuwalinda, Mwakyembe, January na sasa kitwanga.
Wana mageuzi walipo sema tatizo la ufisadi wa tanzania ni mfumo walipuuzwa na wana ccm yaani watawala, lkn leo hii rais magufuli anapambana mwenyewe na wajanja wanamzungukaHapa ndipo IGP amejipalia mkaa na asipokuwa makini hii story itamletea maneno mengi mpaka atajuta kusema hadharani, hivi Thamani ya hivyo vifaa ni bilion 34 ? Uchunguzi uliofanyika kwa kiina Thamani ya Hizo mashine haifiki hata bilion 1 , pesa nyingi ilizidishwa ikaliwa na wajanja wakagawana na sasa ndiyo inatumika kuwanunua wote wanaotumwa kulichunguza hilo sakata, Rushwa imetembea sana na baadhi ya mashine zimefungwa chapchap kwenye Vituo ili kumlinda Said mwema na hii Aibu , lakini Ukweli harisi pesa aliyopewa Lugumi haiendani na Thamani ya hizo mashine bali pesa nyingi imeliwa na wajanja wachache kisha kuleta vifaa ili kuwahadaa Watanzania.
Inasikitisha sana kila mkuu wa idara anakuwa na masharubu kama kambaleNi kweli mkuu tena ni bora angekaa kimya angejijengea heshima kubwa, lakini kumbuka Magufuli anakumbuka fadhila kwa kazi aliyofanya kwenye kampeni anaweza kufumba macho akamlinda kama alivyopata kuwalinda, Mwakyembe, January na sasa kitwanga.
Kama alipata mgao hana atakachopotezaAnatumbuliwa muda si mrefu huyo. Very soon!
Unauliza swali kama umerudi leo toka ulaya!!! Taasisi nyingi za serikali hudaiwa na watoa huduma kama vile mamlaka za maji Tanesco na TTCL.Swali La Ziada, Kwanini Jeshi La Polisi Linashindwa Kuwalipa TTCL Gharama Za Intaneti Hadi Wanakatiwa Huduma?
Angekaa kimya tu
Hapo sasa ndio kaharibu kabisa kabisa, atarudi SingidaNgumu kukaa kimya kama alipata mgao
Hapo sasa ndio kaharibu kabisa kabisa, atarudi Singida
Rudi kasome tena IT. Mawasiliano ya Mwanza na kituo kikuu Dar yatafanyika kwa LAN?Mimi ni IT proffesional na sizdhani kama hizo biometric system ili zifanye kazi zinahitaji internet connection wala sio kweli Mangu anaongea mambo asiyo yajua. Only LOcal area network inahitajika kwenye hiyo system. Anajaribu kutetea uovu huyu Mangu