Ni kweli kabisa bunge limekua serikali na serikali imekua bunge ni kupoteza mda na pesa tu kuunda kamatiSasa hivi hatuna Bunge. Bunge lavsasa ni sehemu ya vitengo au wizara zilizopo chini ya Ikulu.
Ila lugumi wanamlipa hela zote, kweliii?! hahaha Manguu, unahatariii sana ,hizi movie , ngoja tuone episode ngapi zitafikaa! jipuuuuuuu!Swali La Ziada, Kwanini Jeshi La Polisi Linashindwa Kuwalipa TTCL Gharama Za Intaneti Hadi Wanakatiwa Huduma?
Hii ni sawa na kuharakisha kumlipia member wa familia expensive driving lessons kwasababu gari la familia limeharibika kwa matarajio kwamba hakifuzu aendeshe gari la familia lililoharibika!!!!!!!!!!!!!!!Ukisoma vizuri hii mada utaona kuwa hadi hii leo sehemu nyingine zilizofungwa hizo mashine hakuna hata access ya Internet, sasa elezea watajifunzaje online hata kama ni bure.
Nnashauri saa nyingine utumie kichwa chako kufikiri japo kiduchu na si kukiwacha kama mzigo tu juu ya mabega yako.
Mkuu wa Jeshi la Polisi – Inspekta Jenerali (IGP), Ernest Mangu amekanusha madai ya wabunge na hata taarifa zinazosambaa mitandaoni na kwenye vyombo vya habari kuhusu kampuni ya Lugumi kushindwa kufunga mashine kwenye vituo vya Polisi 108 kama mkataba wake ulivyomtaka.
Akizungumza mwishoni mwa wiki, IGP Mangu alisema anashangazwa na habari hizo na kueleza kuwa kampuni ya Lugumi ilitekeleza mradi wa kufunga mashine hizo kama ilivyokubaliana na serikali.
“Siyo kweli, watu wana ugomvi wao, lakini nakueleza wazi kwamba, tembelea vituo vyote tulivyokubaliana, utakuta mashine zipo. Inawezekana zingine hazifanyi kazi kwa sababu ya kukosekana kwa intaneti,” aliongeza mkuu huyo wa polisi.
Alipoulizwa mwenye jukumu la kufunga mtandao wa intaneti ni nani, IGP alijibu, “...ni TTCL (Kamuni ya Simu) ingawa sehemu nyingi ofisi zetu zimekatiwa huduma hiyo kwa kuwa jeshi halijalipa.”
Kwani issue ni kushindwa kufanyakazi tu...? Hata kupata tenda kampuni yenye uhusika na IGP mstaafu Said Mwema (kama ni kweli) ni kinyume na utaratibu au hilo IGP halioni..? Hebu wananchi hapa tusikaa kushangilia ushabiki tukasahau hoja muhimu. Hii kampuni ya mkwe wa IGP inapata tenda kwenda kufanyakazi taasisi ya polisi hiyo tu kwanza imekaaje...?Mkuu wa Jeshi la Polisi – Inspekta Jenerali (IGP), Ernest Mangu amekanusha madai ya wabunge na hata taarifa zinazosambaa mitandaoni na kwenye vyombo vya habari kuhusu kampuni ya Lugumi kushindwa kufunga mashine kwenye vituo vya Polisi 108 kama mkataba wake ulivyomtaka.
Akizungumza mwishoni mwa wiki, IGP Mangu alisema anashangazwa na habari hizo na kueleza kuwa kampuni ya Lugumi ilitekeleza mradi wa kufunga mashine hizo kama ilivyokubaliana na serikali.
“Siyo kweli, watu wana ugomvi wao, lakini nakueleza wazi kwamba, tembelea vituo vyote tulivyokubaliana, utakuta mashine zipo. Inawezekana zingine hazifanyi kazi kwa sababu ya kukosekana kwa intaneti,” aliongeza mkuu huyo wa polisi.
Alipoulizwa mwenye jukumu la kufunga mtandao wa intaneti ni nani, IGP alijibu, “...ni TTCL (Kamuni ya Simu) ingawa sehemu nyingi ofisi zetu zimekatiwa huduma hiyo kwa kuwa jeshi halijalipa.”
Swali la kujiuliza, hivi walifikiriaje kufunga mashine katika vituo ambavyo si kuwa havina internet bali karatasi za kuandikishia mashtaka ni tatizo?Huyu Mangu alihitaji wiki tatu ili kuweza kutoa taarifa kwamba mashine zote 108 zilifungwa katika vituo husika!? Na nani aliyetoa idhini ya mashine hizo kufungwa katika vituo ambavyo havina Internet? Na vituo visivyo na internet ni vingapi kati ya ya vituo hivyo 108!?
Huyu Mangu alihitaji wiki tatu ili kuweza kutoa taarifa kwamba mashine zote 108 zilifungwa katika vituo husika!? Na nani aliyetoa idhini ya mashine hizo kufungwa katika vituo ambavyo havina Internet? Na vituo visivyo na internet ni vingapi kati ya ya vituo hivyo 108!?
Hii ya Lugumi imewaondolea imani wananchi hata wakijitutumua baadae wakawatoa kafara wachache haitasaidia kitu.Mkuu Nguruvi3, wanaoweza kutumbuliwa ni watendaji wanaopewa maagizo, wanaotoa maagizo kwa bahati mbaya ndio hao hao watumbuaji, toka lini daktari akajitibu...hapo-kazi-tu! Nasikia Waziri Mkuu kasi yake imepungua na ari yake imetoweka...kabahatika kuchungulia maskani, la haulaa, mbona balaa! Kachomoka nduku! Duh! kumbe ndio maana mtangulizi wake alimwaga machozi bungeni! Kuna majipu yakitumbuliwa taifa laweza kuyumba na nchi kuwaka moto. Mimi Mag3, yangu macho...tuwaachie akina Mzee Mwanakijiji.
ufisadi upo hapo pesa ilipigwa kinachofanyika sasa ni mbinu ya kumsafirisha Lugumi kisha itafutwe skendo ingine watu wasahau haraka.Swali la kujiuliza, hivi walifikiriaje kufunga mashine katika vituo ambavyo si kuwa havina internet bali karatasi za kuandikishia mashtaka ni tatizo?
Ni sawa na kuagiza CT zifungwe kila kituo cha afya, wakati hakuna si umeme bali tochi za kumulikia
Halafu baada ya kujichanganya tunazidi kuona mauza uza
1. PAC wamechunguza wakadai nyaraka, hawkaupewa
2. Kamati ya ulinzi na usalama ikasema imepewa mkataba
3. Bunge likasema hauhitaji mkataba bali maelezo ya kina
4. Kamati ya PAC ikarudishiwa jukumu kinyemela, ya ulinzi na usalama iliyopewa nyaraka ikatoweka
5. IGP akasema kazi ilimazika vizuri tu
6. Hakukuwa na internet
7. Lugumi : Tulimaliza kazi kwa mujibu wa mkataba
Hivi kazi ilikuwa kupeleka vifaa au kuvifunga vifanye kazi?
Tenda ilitolewaje, nani alimwibua Lugumi kutoka kusikojulikana?
Mkataba unasemaje?
bei elekezi ikifuatwa utashangaa hata milion 500 ingetosha kununua mashine zote hapo kuna wizi mkubwa wa kutisha sana.Pia kamati ichunguze kama tangia zifungwe zimewahi kufanya kazi au la,kama ni white elephant project au la,pia majina ya vituo vilivyofungwa yaainishwe yajulikane kwa wananchi,bei halisi na bei iliyotumika kununua na bei elekezi,vinginevyo aliyehusika kuingiza serikali kwenye mkataba usio na tija naye aangaliwe kwani siamini kuwa finger print machine ilikuwa priority number 1 kwa jeshi kuliko mfano makazi ya askari na mengineyo mengi.
Bei ya mashine inaendana na pesa alizolipwa Lugumi?
Na wapi mtu huyo ana historia ya kazi kama hizo? Kilitafutwa kigezo cha ugaidi ili kuhalalisha uharaka wa kupeana ulaji. minyoo kasema inatafutwa skendo kutuondoa hapa.Hela kubwa imeshapigwa hapa sasa wanahangaika kuficha dhambi zao kwa kukingiana vifua. Haiwezekani kabisa mkataba wa pesa nyingi kiasi hiki usainiwe ndani ya siku moja tu bila kuwepo wengine waliotuma maombi yao ya kuomba kupewa kazi hiyo.
Bongo tambarare mura hakuna mabhondeAnatumbuliwa muda si mrefu huyo. Very soon!
Na sijui tutapata wapi maua ili sterling afie hapo?Teeeeeeeeh teeeeeeeeh, naona picha ya govinda ndio inaendelea adui akiwa shakti
Je unajua ya BOT kwa nini yamepoa? Nasikia wapo waliotishia kumwaga mboga kama utawala utamwaga ugali! Ugaidi ulitumika kufisadi mabilioni kupitia Lugumi katika mtindo ule ule wa Meremeta, ulinzi na usalama! Watawala wetu wanajua kupiga hela halafu masikini wadanganyika wa nchi hii, miaka nenda rudi wanawasindikiza kwa vifijo na nderemo wezi wetu hao hao madarakani na mwisho wa siku wanarudi kwenye umasikini wao. Adui mkubwa wa taifa hili ni CCM, period. Nilisema hivyo toka najiunga na JF na nitaendelea kusema hivyo hadi wananchi wazinduke wamjue mbaya wao.Na wapi mtu huyo ana historia ya kazi kama hizo? Kilitafutwa kigezo cha ugaidi ili kuhalalisha uharaka wa kupeana ulaji. minyoo kasema inatafutwa skendo kutuondoa hapa.
Ninachoshangaa watuambuaji hapa wamekwama! Tunasikia ripoti za kwingine hapa ngoma muzito
Tulisema kuanzia awali, zile kimbia kimbia tupiana mpira n.k. ni mbinu tu za kuvuta muda mafaili yakae uzuri. Kwa bahati mbaya au nzuri taarifa zilishafikia vyombo vya habari na sasa wanabaki kubabaika tu
Hili la Lugumi lita define mapambano dhidi ya rushwa! likifunikwa basi tuendelee na utamaduni wetu wa kawaida. Washangiliaji wote mbio! hakuna anayekuja kujibu hoja
MsemajiUkweli tuambie ukweli. Simiyu Yetu hiliunalisemaje maana limenata na litaibuka kila asubuhi
Hapo sterling ataishia ukonga tuNa sijui tutapata wapi maua ili sterling afie hapo?