IGP Mstaafu Mahita: Polisi wanachafuliwa na watu wasiokuwa waaminifu ndani ya jeshi

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mzee Omar Mahita amezungumza maisha halisi kabisa ya jeshi la polisi lilivyo sasa. Kuna lakujifunza kwa polisi wa sasa
============
Polisi wanachafuliwa na watu wasiokuwa waaminifu ndani ya jeshi na sisi wakati wetu polisi tunamuanzia kwenye kata, sasa hivi sijuwi kama kuna veting kwa sababu kama hamfanyi veting au humjui askari kutoka kijijini kwake.

Soma Pia: IGP Mstaafu Omar Mahita: Jeshi la polisi izingatie misingi yake, wasifanye kwa shinikizo la idara nyingine

Anashangazwa na dhana ya sasa kuwa watu watukutu ndio wanaopelekwa polisi ili "wakafundishwe": "mtu mtukutu aende polisi akafundishwe. It doesn't give sense" sisi mtu akuulizia polisi tunasema ndio wito kama vile daktari

Omar Mahita ameyazungumza hayo kwenye M&S Podcast na kutoa mtazamo wake mpana kwa kile kinachofanyika kwa sasa katika jeshi la polisi

Tunazungumzia uaminifu kwa hawa vibaraka wa mkoloni. Hatuna jeshi la polisi Tz. Wote vibaraka katika mwavuli wa jeshi la polisi.

Tujisahihishe kama kweli tunataka jeshi la kulinda raia na mali zao, jeshi la polisi litakalowajibika kwa wananchi na kutii sheria zinazowaongoza.
 
Mzee Omar Mahita amezungumza maisha halisi kabisa ya jeshi la polisi lilivyo sasa. Kuna lakujifunza kwa polisi wa sasa
============
Polisi wanachafuliwa na watu wasiokuwa waaminifu ndani ya jeshi na sisi wakati wetu polisi tunamuanzia kwenye kata, sasa hivi sijuwi kama kuna veting kwa sababu kama hamfanyi veting au humjui askari kutoka kijijini kwake.

Soma Pia: IGP Mstaafu Omar Mahita: Jeshi la polisi izingatie misingi yake, wasifanye kwa shinikizo la idara nyingine

Anashangazwa na dhana ya sasa kuwa watu watukutu ndio wanaopelekwa polisi ili "wakafundishwe": "mtu mtukutu aende polisi akafundishwe. It doesn't give sense" sisi mtu akuulizia polisi tunasema ndio wito kama vile daktari

Omar Mahita ameyazungumza hayo kwenye M&S Podcast na kutoa mtazamo wake mpana kwa kile kinachofanyika kwa sasa katika jeshi la polisi

Mbona yeye alikuwa na kashfa ya ujambazi?
 
Back
Top Bottom