IGP MSTAAFU MAHITA, akiwa anahojiwa katika podcast ya Mr&Mrs Kashera alisikika akisema, JESHI LA POLISI linapokea AMRI na maagizo kutoka katika Mamlaka tatu tu ambazo ni Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu.
Sasa huyu Waziri wa Sasa WA mambo ya ndani haya Mamlaka nani aliyempa???
Je, IGP wa...
DeletedMember281674
Thread
amri
hana
igpigpmstaafumahita
jeshi
jeshi la magereza
jeshi la polisi
kutoa
labda
magereza
mahita
mamlaka
mstaafu
polisi
"Mimi nina watoto kumi na katika kumi kuna Polisi mmoja Mahita Omary Mahita. Ukienda Arusha kama utapata nafasi nenda uliza namtaka Mahita yupo wapi, watakuambia Mahita Omary Mahita ni mkono wa chuma."
Soma Pia: IGP Mstaafu Omar Mahita: Jeshi la Polisi lizingatie misingi yake, wasifanye kwa...
Mzee Omar Mahita amezungumza maisha halisi kabisa ya jeshi la polisi lilivyo sasa. Kuna lakujifunza kwa polisi wa sasa
============
Polisi wanachafuliwa na watu wasiokuwa waaminifu ndani ya jeshi na sisi wakati wetu polisi tunamuanzia kwenye kata, sasa hivi sijuwi kama kuna veting kwa sababu...
IGP Mstaafu Omar Mahita amesema Jeshi la Polisi la Sasa linaingiliwa na Wanasiasa. "Polisi wanaingiliwa na wanasiasa... ndio maana nikasema mimi wakati wangu hapa challenge yangu ni wanasiasa
Ameuliza, unaweza kwenda Hospitali ukamwambia Daktari pasua hapa? ni sawasawa wewe daktari unaweza...
Baada ya kustaafu, mzee huyu kwasasa anaishi mkoani Morogoro. Moja ya madoido yake katika uzee wake ni kuchomoa hadharani silaha yake ya moto (bastola) kila anapokerwa na mtu.
Miongoni mwa matukio ya ajabu aliyofanya ni kupiga risasi lock iliyowekwa kwenye gari yake baada ya kupaki sehemu isiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.