IGP Mstaafu Mahita: Jeshi la Polisi la Sasa linaingiliwa na Wanasiasa

IGP Mstaafu Mahita: Jeshi la Polisi la Sasa linaingiliwa na Wanasiasa

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
IGP Mstaafu Omar Mahita amesema Jeshi la Polisi la Sasa linaingiliwa na Wanasiasa. "Polisi wanaingiliwa na wanasiasa... ndio maana nikasema mimi wakati wangu hapa challenge yangu ni wanasiasa

Ameuliza, unaweza kwenda Hospitali ukamwambia Daktari pasua hapa? ni sawasawa wewe daktari unaweza kumwambia nipasue hivi... kwa nini unamwambia nani wewe fanya hivi" sio kwa sababu ya... umeamrishwa na kiongozi wa s... kamata wewe tuletee polisi huku

You can't order me Kamata huyu.. Wewe kama nani? .
"Amesema Mahita.

Polisi wa Sasa wanaelekezwa pasua hapa na wanapasua. Polisi unayejitambua huwezi kuelekezwa kamata huyu sababu Wanasiasa ni raia kama raia wengine tu.

Soma Pia: Omar Mahita: Nilikuwa IGP katili sana

 
IGP Mstaafu Mahita amesema Jeshi la Polisi la Sasa linaingiliwa na Wanasiasa.

Ameuliza, unaweza kwenda Hospitali ukamwambia Daktari pasua hapa?

Polisi wa Sasa wanaelekezwa pasua hapa na wanapasua.

Soma Pia: Omar Mahita: Nilikuwa IGP katili sana

Hakika Samia na uzao wako mlaaniwe.
View attachment 3596091
Screenshot_20260514-220817~2.png
 
Na huu ndio ukweli wenyewe kabisa.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Mbona October 29-30/2025 kuna hospitali waliamrishwa ku-discharge majeruhi wote wa risasi.
 
IGP Mstaafu Mahita amesema Jeshi la Polisi la Sasa linaingiliwa na Wanasiasa.

Ameuliza, unaweza kwenda Hospitali ukamwambia Daktari pasua hapa?

You can't order me Kamata huyu.. Wewe kama nani? Weka ndani.. Weka ndani mzee kuna utaratibu. Isipokuwa Rais, Makamu na Waziri Mkuu tu. A shit is a shit. Amesema Mahita.

Polisi wa Sasa wanaelekezwa pasua hapa na wanapasua. Polisi unayejitambua huwezi kuelekezwa kamata huyu sababu Wanasiasa ni raia kama raia wengine tu.

Soma Pia: Omar Mahita: Nilikuwa IGP katili sana

Hakika Samia na uzao wako mlaaniwe. Hatutasahau 29.10.2025 ulivyotoa amri tupigwe risani kisa eti utapinduliwa..
View attachment 3596123


"A shit is a shit that's all "
 
Ukimsikiliza unapata picha huko nyuma nafasi za senior civil servants zilikuwa za merit sana. Unaona kabisa huyu mstaafu anaielewa hiyo nafasi na kapitia appropriate succession planning.

Uharibifu wa kupachika watu umeanza na Magufuli kwa kiasi kidogo, Samia ndio kabomoa kabisa mfumo mzima. Nakumbuka Magufuli alitaka kulazimisha IGP Mangu kumpandisha cheo askari bila ya kupitia utaratibu wa mafunzo ya nafasi akamgomea.

Leo wanaweka tu, na madhara yapo wazi. Waziri hawezi toka kwenye hadhara na kuropoka ujinga kama aliofanya Kombo. Kuna utaratibu wa kimataifa unaokubalika kabla ya kufyatua risasi.

Tanzania ni signatory wa “International Covenant on Civil and Political Rights” (ICCPR) Treaty. You are expected to comply with international laws unazokubali mwenyewe. Kabla ya kupiga watu risasi Article 6 ya ICCPR inaeleza unahitaji ushahidi wa hatari ya askari husika kupoteza maisha, jitahada za kuondoa hatari hizo kwa njia nyingine kabla ya kufyatua risasi.

Wewe ujafanya chochote kuondoa umati unafika na kupiga vitoto risasi tu, na uoni shida kuongea utumbo mbele ya dunia. Yote hayo ni kutokana na amri za wanasiasa na njaa ya vigogo kwenye civil services. Waziri anatakiwa kuwa na washauri makini on international law sio kuongea utumbo tu, kila sehemu hovyo hakuna meritocracy kabisa these days huko serikalini.
 
OMARY MAHITA - JESHI LA POLISI LINA GONJWA KA UKOMA, VIUNGO VINAKATIKA JESHI HALIJUI YAANI MATUKIO YA UTEKAJI JESHI LA POLISI LIMESHINDWA KUBAINI WASIO JULIKANA
 
Msisahau sheria za hovyo kama mkuu wa wilaya kukuweka ndani bila mashtaka, sheria za kihuni hata mkoloni alikuwa bora
 
Back
Top Bottom