The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 2,471
- 3,768
Hivi huyu ndo alikamataga visu na mapanga ya kaf!?
CCM bado wanalinda sheria ya kuweka watu vizuiziniHata rais, makamu wa rais na waziri mkuu hawana hayo mamlaka
Hata kuwekwa kizuizini kunahitaji tangazo rasmi la amri ya rais, sio kusema tu mtu akamatwe kiholela.CCM bado wanalinda sheria ya kuweka watu vizuizini
Hata wakuu wa wilaya wamepewa uwezo wa kuweka watu ndani, ni sheria ya hovyo ambayo yenyewe inavunja katibaHata kuwekwa kizuizini kunahitaji tangazo rasmi la amri ya rais, sio kusema tu mtu akamatwe kiholela.
Anafikiri tumesahau walivyombonda lipumba,wakamvunja mkono na kumsweka ndaniNaomba nione coments za CUF
Wakiacha sheria mbunge ajue tu kusoma na kuandika napo unapinga,unataka mbunge awe msomi,nyi maccchokkko mna tabuCCM wasivyo na akili waliwahi kuweka sheria ya mgombea uraisi lazima awe na degree, nia ilikuwa kumzuia Mbowe, hata katiba haikubaliani na hiyo sheria,CCM kweli mapunga
Ana hospital yake pugu road,ikilindwa na ffu,muuza weed huko Mauritius,jakaya alienda kumpora magari kwake, alikua nayo mengi, jakaya 'serikali haina magari we una magari yote haya'!?..akamwachia mawiliUkimsikiliza unapata picha huko nyuma nafasi za senior civil servants zilikuwa za merit sana. Unaona kabisa huyu mstaafu anaielewa hiyo nafasi na kapitia appropriate succession planning.
Uharibifu wa kupachika watu umeanza na Magufuli kwa kiasi kidogo, Samia ndio kabomoa kabisa mfumo mzima. Nakumbuka Magufuli alitaka kulazimisha IGP Mangu kumpandisha cheo askari bila ya kupitia utaratibu wa mafunzo ya nafasi akamgomea.
Leo wanaweka tu, na madhara yapo wazi. Waziri hawezi toka kwenye hadhara na kuropoka ujinga kama aliofanya Kombo. Kuna utaratibu wa kimataifa unaokubalika kabla ya kufyatua risasi.
Tanzania ni signatory wa “International Covenant on Civil and Political Rights” (ICCPR) Treaty. You are expected to comply with international laws unazokubali mwenyewe. Kabla ya kupiga watu risasi Article 6 ya ICCPR inaeleza unahitaji ushahidi wa hatari ya askari husika kupoteza maisha, jitahada za kuondoa hatari hizo kwa njia nyingine kabla ya kufyatua risasi.
Wewe ujafanya chochote kuondoa umati unafika na kupiga vitoto risasi tu, na uoni shida kuongea utumbo mbele ya dunia. Yote hayo ni kutokana na amri za wanasiasa na njaa ya vigogo kwenye civil services. Waziri anatakiwa kuwa na washauri makini on international law sio kuongea utumbo tu, kila sehemu hovyo hakuna meritocracy kabisa these days huko serikalini.
Vipi lile container la visu vya cuf aliletewa na wananchi ama na wanasiasa wa chama cha majambazi?IGP Mstaafu Mahita amesema Jeshi la Polisi la Sasa linaingiliwa na Wanasiasa.
Ameuliza, unaweza kwenda Hospitali ukamwambia Daktari pasua hapa?
You can't order me Kamata huyu.. Wewe kama nani? Weka ndani.. Weka ndani mzee kuna utaratibu. Isipokuwa Rais, Makamu na Waziri Mkuu tu. A shit is a shit. Amesema Mahita.
Polisi wa Sasa wanaelekezwa pasua hapa na wanapasua. Polisi unayejitambua huwezi kuelekezwa kamata huyu sababu Wanasiasa ni raia kama raia wengine tu.
Soma Pia: Omar Mahita: Nilikuwa IGP katili sana
Hakika Samia na uzao wako mlaaniwe. Hatutasahau 29.10.2025 ulivyotoa amri tupigwe risani kisa eti utapinduliwa..
View attachment 3596123
Sheria yeyote inayotungwa lazima ifuate katiba, isingekuwa hivyo wanasiasa wangejiamulia wanavyotaka, sasa katiba inasema ajue kusoma na kuandika wewe unaongeza degree, huoni makosa?Wakiacha sheria mbunge ajue tu kusoma na kuandika napo unapinga,unataka mbunge awe msomi,nyi maccchokkko mna tabu
😂😂😂😂😂Amesisitiza kwamba,kwenye jeshi la sasa kuna ugonjwa wa ukoma,na ndiyo maana watu wanatekwatekwa.
Anatubu Safari Imemfikia Huyo NgunguriMbona kwa sasa anaongea kama malaika au anatubu
Kumbe 🙄"Polisi wanaingiliwa na wanasiasa...
Hawa watu mbona wanazidi tu kutoture saikolojia zetu hawa.IGP Mstaafu Omar Mahita amesema Jeshi la Polisi la Sasa linaingiliwa na Wanasiasa. "Polisi wanaingiliwa na wanasiasa... ndio maana nikasema mimi wakati wangu hapa challenge yangu ni wanasiasa
Ameuliza, unaweza kwenda Hospitali ukamwambia Daktari pasua hapa? ni sawasawa wewe daktari unaweza kumwambia nipasue hivi... kwa nini unamwambia nani wewe fanya hivi" sio kwa sababu ya... umeamrishwa na kiongozi wa s... kamata wewe tuletee polisi huku
You can't order me Kamata huyu.. Wewe kama nani? ."Amesema Mahita.
Polisi wa Sasa wanaelekezwa pasua hapa na wanapasua. Polisi unayejitambua huwezi kuelekezwa kamata huyu sababu Wanasiasa ni raia kama raia wengine tu.
Soma Pia: Omar Mahita: Nilikuwa IGP katili sana