IGP Mstaafu Mahita: Nina mtoto Polisi "Mkono wa Chuma" kule Arusha

Inside10

Platinum Member
Joined
May 20, 2011
Posts
34,776
Reaction score
42,933
"Mimi nina watoto kumi na katika kumi kuna Polisi mmoja Mahita Omary Mahita. Ukienda Arusha kama utapata nafasi nenda uliza namtaka Mahita yupo wapi, watakuambia Mahita Omary Mahita ni mkono wa chuma."

Soma Pia: IGP Mstaafu Omar Mahita: Jeshi la Polisi lizingatie misingi yake, wasifanye kwa shinikizo la Idara nyingine

"Ulipata kuona walivyokuwa wanalumbana kwenye kesi ya kina Mbowe? Mwanangu ni mwanasheria, alimaliza sheria yake Manchster University."- Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Mstaafu wa Tanzania akizungumza na M&S Podcast.

​
Sikujua polisi wanapewa mshahara mkubwa hadi kusomesha watoto Manchester University!
 
Sisi waislam tunapenda kuwasifu watoto wetu wakiwa wema kama walioshikamana na dini na sio ubabe au kuonea watu
 
Sikujua polisi wanapewa mshahara mkubwa hadi kusomesha watoto Manchester University!
Ukiwa IGP hapa Tz unaweza kuchangisha kila polisi 10,000/= kwa mwezi ziingie kwa account unayotaka na hakuna polisi hata mmoja atakiuka amri hii. Na mzee alikuwa katili mkubwa akikuangalia tu hivi unaweza kujiuzulu hapo hapo.
 
Hukumbuki mange alivyokuwa anatoa taarifa za wambura.. sasa fikiria kwa ukwasi ule anashindwa kumsomeaha mtoto huko nje
 
Back
Top Bottom