D
DeletedMember281674
Guest
IGP MSTAAFU MAHITA, akiwa anahojiwa katika podcast ya Mr&Mrs Kashera alisikika akisema, JESHI LA POLISI linapokea AMRI na maagizo kutoka katika Mamlaka tatu tu ambazo ni Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu.
Sasa huyu Waziri wa Sasa WA mambo ya ndani haya Mamlaka nani aliyempa???
Je, IGP wa Sasa akitii Mamlaka haya itakuwa ni kulinajisi JESHI LA POLISI????
Sasa huyu Waziri wa Sasa WA mambo ya ndani haya Mamlaka nani aliyempa???
Je, IGP wa Sasa akitii Mamlaka haya itakuwa ni kulinajisi JESHI LA POLISI????
