IGP Mstaafu Omar Mahita: Jeshi la Polisi lizingatie misingi yake, wasifanye kwa shinikizo la Idara nyingine

IGP Mstaafu Omar Mahita: Jeshi la Polisi lizingatie misingi yake, wasifanye kwa shinikizo la Idara nyingine

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
IGP Mstaafu Omar Mahita wakati akizungumza kwenye M&S Podcast ametoa mtazamo wake na ushauri kwa Polisi wasifanye kazi kwa shinikizo au ushawishi wa watu au idara nyingine, bali wabaki katika misingi yao ya kisheria wanapokamata watu.

Soma Pia: IGP Mstaafu Mahita: Jeshi la Polisi la Sasa linaingiliwa na Wanasiasa

Ambapo kwa sasa kuna hofu miongoni mwa jamii na familia pale watu wanapochukuliwa na watu wanaojitambulisha kama polisi kisha wanatafutwa kwa siku kadhaa bila kupatikana,


​
 
Ukiwa nje unaona kila kitu, subiri ukaribishwe mezani..
 
Back
Top Bottom