Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Ndugu zangu Watanzania,
Soma Hapa👉Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Balozi Simon Sirro amesema baadhi ya Viongozi wanapokuwa Serikalini hujikuta wakijisahau na kufikia hatua ya kujiona kuwa wao ndio kila kitu.
Sirro ametoa kauli hiyo leo Juni 26, 2026 wakati wa kumuaga aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora (SACP), Richard Abwao aliyefariki dunia Juni 20, 2026.
“Kwetu ni faraja sana kwamba mlituletea kijana mchapakazi ambaye siku zake zimefika, lakini amekwenda kwa heshima kubwa.”
“Niwashukuru sana Viongozi wetu wa dini, sisi wakati mwingine tunajisahau tukiwa Serikalini, tunaona sisi ndio kila kitu hata wenzangu ni mashahidi, nilikuwa navaa magwanda kama Wambura.”Amesema Sirro.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.