Prof Koboko
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 350
- 2,550
Mzee Siro kutokana na uzoefu wako wa Operations mbalimbali ulizosimamia nchini kwa mafanikio makubwa tulijua unaweza kuliongoza jeshi la Polisi katika weledi mkubwa lakini matokeo yake umeonekana kushindwa kabisa kuja na mbinu mpya na za kisasa kuendesha jeshi hili. Jeshi linakuwa na kashfa kubwa za Mauaji,rushwa, unyang'anyi, ubambikiaji kesi ambapo Rais alilinyooshea kidole, wewe upo tu haya yanaendelea nchini sijui ni nini kimetushinda mzee.
Ninachokiona kwenye managemts kuna kitu tunaita Operational leaders/Managers na day to day activities leaders, Wewe ni Operational leader na siyo day to day activities leaders. Ulitakiwa kuwa kamanda wa Operation maalum nchini na siyo kuwa IGP. Hiki ni cheo kikubwa sana ambacho kinahitaji ubunifu, busara, hekima na maamuzi ya haraka yenye maslahi kwa taifa. Ni vyema sana kuwaachia vijana wenye ubunifu na mbinu mpya za kisasa kuendesha jeshi hili.
Tuondoke kwenye matumizi ya nguvu,yaani Police Force twende kwenye jeshi la huduma,yaani police service, ibakie tu unit moja ya FFU ambayo itatoa units ziingine Kama za kuzuia ugaidi na madawa ya kulevya. Police force ni mambo ya kikoloni na ndiyo maana tunaona tunaona kelele za kashfa na sifa mbaya haziishii kwenye jeshi hili. Natamani kuona wakipatikana vijana wapya wabunifu hasa waliofanya kazi kazi Interpol ambao wamejifunza mengi kutoka nchi mbali mbali juu ya jeshi la polisi. Kuendelea kua na jeshi ambalo kila anayeingia kufanya kazi anawaza kuiba tu hatutafikia.
Kwahiyo Mzee Siro ili kutunza heshima yako ni muda mwafaka kujiuzulu. Hii kazi si Saiz yako.