IGP Simon Sirro unasubiri nini kujiuzulu kwa kashfa hizi za Jeshi la Polisi?

Hayo yote yalipaliliwa na jiwe na sasa Mama Tozo kahalalisha -watu wale kwa urefu wa kamba zao.
 
Wala hana habari kama kuna jambo limetokea. Hizo ni habari zenu za mitandaoni.
 
Unadhani kwamba hajui nini cha kufanya?? Hizo ndio terms of work.

Hakuna kinachotokea kwa bahati mbaya. That is how things work now.
 
Ma IGP kwa ubora wa utendaji kwa kipindi cha miaka michache
1. Said Mwema - Alifanya mahusiano na jamii yawe Bora.
2. Ernest Mangu
3. Alfred Tibaigana
4. Simon Sirro wapo sawa tu na mzee wa mapanga ya CUF- Worst IGPs
Tibaigana hajawahi kuwa IGP
 
Hivi ni yeye ndiye aliyesemaga eti jeshi lake linatumia nguvu kwa sababu linaitwa police "force" au? Wakati force maana yake ni jeshi!

Na inashangaza kweli hata vyombo vya usalama kwenye hii nchi navyo vimeamua kuitwa majeshi! Kwa kifupi hizo zote ni idara tu za usalama!

Vyombo vyote chini ya wizara ya mambo ya ndani ie. polisi, magereza, uhamiaji na zimamoto siyo majeshi ni idara nchi hii jeshi ni moja tu JWTZ.
 
Ma IGP kwa ubora wa utendaji kwa kipindi cha miaka michache
1. Said Mwema - Alifanya mahusiano na jamii yawe Bora.
2. Ernest Mangu
3. Alfred Tibaigana
4. Simon Sirro wapo sawa tu na mzee wa mapanga ya CUF- Worst IGPs
Hivi Tibaigana aliwahi kuwa IGP?
 
Kwa taarifa yako Mangu alisitiruwa tu kwasababu alimuingiza bwana yule madarakani, vinginevyo alipaswa kuwa rumande.
3B kwenye ac yake ilimtia hatiani akalindwa.
 
Unadhani kwamba hajui nini cha kufanya?? Hizo ndio terms of work.

Hakuna kinachotokea kwa bahati mbaya. That is how things work now.
Basi hali ni mbaya sana bora hata Somalia yaani Mkuu asijue nini cha kufanya mauaji kila kukicha hakuna tamko lolote au uchunguzi wowote...
 

 
Polisi wanajua kinachoendelea upande wa pili,ndio maana nao wamekuwa rogue.Simply hakuna political will ya kuwa na Jeshi la Polisi zuri.
 
Nadhani wadau wanaongelea utendaji wake,maana kama ni swala la ufisadi nchi hii nikama imeoza kila mahali toka nchi igundulike.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Bora mwizi mwenye huruma kuliko mwaminifu Muuaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…