Hata Kanali Twalipu alikuwa mkuu wa mkoa wa Kagera(Ziwa Magharibi)Kagera ndio ngazi ya kupandia juu.
Angalia Diwani alikuwa Ras Kagera
Awadh alikuwa RPC Kagera
Nk....nk!
Kiongozi muadilifu ni yule anaeacha watu waamua wenyewe kumfanya kuwa kiongozi kutokana na mwenendo wake mwema ila Watu wenye uchu wa madaraka huwa hawana uadilifu ndani yao, Wankyo kadhihirisha tamaa maana yake anaweza kufanya uhaini ndan ya jeshi
Huyu anaweza kutamani nafasi ya amiri Jeshi Mkuu hafai kabisa
Ki system pia afai akiwa IGP kesho atautamani uraisi
Halafu Eti kuna watu wanashadadia kabisa kwa kusema Eti mdomo uliponza kichwa?!
Nyie!
Inahitajika mind transformation kwa kiasi kikubwa miongoni mwa waTZ wengi aisee!
Sikutegemea michango ya mawazo ya watu wa aina hiyo!
Yani watu wasiwe huru kuzungumzia ndoto zao?
Bangi siyo mboga Wakyo nahisi aliipuliza nyingi ikamshinda kuhimili, halafu ukizingatia ni homeboy wa Sirro wote wanatoka Kanda maalumu, na Bila Sirro Wakyo asingekuwa hapo alipo kiukweli alikosea sana Hana adabu hata angekuwa mtumishi au mfanyakazi wa sekta binafsi huo ni utovu wa nidhamu
Weka kifungu kinachoonesha ni utovu wa nidhamu au ni inferiority complexity tu zinasumbuaBangi siyo mboga Wakyo nahisi aliipuliza nyingi ikamshinda kuhimili, halafu ukizingatia ni homeboy wa Sirro wote wanatoka Kanda maalumu, na Bila Sirro Wakyo asingekuwa hapo alipo kiukweli alikosea sana Hana adabu hata angekuwa mtumishi au mfanyakazi wa sekta binafsi huo ni utovu wa nidhamu
Tuwekee kifungu..mkuuJeshini sio jukwaani mzee taratibu utaelewa.
Uliwahi kusikia wapi mwanajeshi anasema anaomba Rais amteue kuwa CDF?
Jeshi lina nidhamu yake na kwa utaratib wa kijeshi cheo hakiombwi.
Huyo Bw. Nyigesa ataomba radhi huko ni suala la muda tu pale aliteleza
Jeshi lolote duniani lina utaratibu wa kuteuliwa na siyo kwa askari kunadi sera jeshi siyo chama cha siasa, hata kama unaitaka hiyo nafasi acha mamlaka ziamue na siyo kujipigia kampeni huo ni uhaini kijeshiNaona ni mtazamo wako tu!
Kwa hiyo wananchi hawatakiwi kuwa na ndoto?
Ni kosa mtu kuwa na ndoto?
Kama wewe ni mtumishi wa umma au ni askari unaelewa namna ya kuwa na adabu kokote kule unapokuwa lazima uchunge ulimi katika matamshi, RPC anatamka Hadi silaha wanazotumia kulinda na check point zilizopo unaona ni jambo la kawaidaWeka kifungu kinachoonesha ni utovu wa nidhamu au ni inferiority complexity tu zinasumbua
Tuwekee kifungu..mkuu
Ni kosa huwezi tamani kiti kisicho chakoKwani ni kosa?
Taja regulation hata huyo askari anapotakiwa kuadhibiwa kinidhamu wata quote code of conduct au ethics iliokua violatedDude, haya ndiyo madhara ya kukariri. Sio kila element of professionalism inakuwa legislated!
Mzee taja kifungu kilichokua violatedKama wewe ni mtumishi wa umma au ni askari unaelewa namna ya kuwa na adabu kokote kule unapokuwa lazima uchunge ulimi katika matamshi, RPC anatamka Hadi silaha wanazotumia kulinda na check point zilizopo unaona ni jambo la kawaida
Hao askari walikuambia ?Ila Wankyo alikuwa sahihi angeongezea IGP kashindwa kazi nipewe mimi. Askari wengi wana mawazo kama ya Wankyo lkn hawana pa kusema.