IGP Sirro afanya mabadiliko: ACP Wankyo Nyigesa arudishwa Makao Makuu kupisha Uchunguzi, ACP Mwampakale awa RPC Kagera

IGP Sirro afanya mabadiliko: ACP Wankyo Nyigesa arudishwa Makao Makuu kupisha Uchunguzi, ACP Mwampakale awa RPC Kagera

Kagera ndio ngazi ya kupandia juu.

Angalia Diwani alikuwa Ras Kagera

Awadh alikuwa RPC Kagera

Nk....nk!
Hata Kanali Twalipu alikuwa mkuu wa mkoa wa Kagera(Ziwa Magharibi)

Akapandishwa cheo kuwa Major General na kuchukuwa nafasi ya Major General Sarakikya
 
Kiongozi muadilifu ni yule anaeacha watu waamua wenyewe kumfanya kuwa kiongozi kutokana na mwenendo wake mwema ila Watu wenye uchu wa madaraka huwa hawana uadilifu ndani yao, Wankyo kadhihirisha tamaa maana yake anaweza kufanya uhaini ndan ya jeshi

Naona ni mtazamo wako tu!

Kwa hiyo wananchi hawatakiwi kuwa na ndoto?

Ni kosa mtu kuwa na ndoto?
 
Hata shuleni watoto wanaimba nyimbo za ndoto mbali mbali,

What are you going to be? ……….[emoji441][emoji440][emoji449][emoji448]

Ukiwa mkubwa unataka kuwa nani?

Unataka kufanya kazi gani?

N.k.

Sasa mtu kuwa na ndoto Kuna shida gani?

After all hawezi kujiweka mwenyewe kwenye hiyo nafasi hadi awekwe sasa huo uasi ameufanyaje hapo?!

Bongo bana!
 
Halafu Eti kuna watu wanashadadia kabisa kwa kusema Eti mdomo uliponza kichwa?!

Nyie!

Inahitajika mind transformation kwa kiasi kikubwa miongoni mwa waTZ wengi aisee!

Sikutegemea michango ya mawazo ya watu wa aina hiyo!

Yani watu wasiwe huru kuzungumzia ndoto zao?
 
Jeshini sio jukwaani mzee taratibu utaelewa.

Uliwahi kusikia wapi mwanajeshi anasema anaomba Rais amteue kuwa CDF?

Jeshi lina nidhamu yake na kwa utaratib wa kijeshi cheo hakiombwi.

Huyo Bw. Nyigesa ataomba radhi huko ni suala la muda tu pale aliteleza
 
Bangi siyo mboga Wakyo nahisi aliipuliza nyingi ikamshinda kuhimili, halafu ukizingatia ni homeboy wa Sirro wote wanatoka Kanda maalumu, na Bila Sirro Wakyo asingekuwa hapo alipo kiukweli alikosea sana Hana adabu hata angekuwa mtumishi au mfanyakazi wa sekta binafsi huo ni utovu wa nidhamu

Pimbi kama hawa ndiyo wanalifanya Jeshi la Polisi lionekane halina hata chembe ya weledi.
 
Bangi siyo mboga Wakyo nahisi aliipuliza nyingi ikamshinda kuhimili, halafu ukizingatia ni homeboy wa Sirro wote wanatoka Kanda maalumu, na Bila Sirro Wakyo asingekuwa hapo alipo kiukweli alikosea sana Hana adabu hata angekuwa mtumishi au mfanyakazi wa sekta binafsi huo ni utovu wa nidhamu
Weka kifungu kinachoonesha ni utovu wa nidhamu au ni inferiority complexity tu zinasumbua
 
Jeshini sio jukwaani mzee taratibu utaelewa.
Uliwahi kusikia wapi mwanajeshi anasema anaomba Rais amteue kuwa CDF?
Jeshi lina nidhamu yake na kwa utaratib wa kijeshi cheo hakiombwi.
Huyo Bw. Nyigesa ataomba radhi huko ni suala la muda tu pale aliteleza
Tuwekee kifungu..mkuu
 
Naona ni mtazamo wako tu!

Kwa hiyo wananchi hawatakiwi kuwa na ndoto?

Ni kosa mtu kuwa na ndoto?
Jeshi lolote duniani lina utaratibu wa kuteuliwa na siyo kwa askari kunadi sera jeshi siyo chama cha siasa, hata kama unaitaka hiyo nafasi acha mamlaka ziamue na siyo kujipigia kampeni huo ni uhaini kijeshi
 
Weka kifungu kinachoonesha ni utovu wa nidhamu au ni inferiority complexity tu zinasumbua
Kama wewe ni mtumishi wa umma au ni askari unaelewa namna ya kuwa na adabu kokote kule unapokuwa lazima uchunge ulimi katika matamshi, RPC anatamka Hadi silaha wanazotumia kulinda na check point zilizopo unaona ni jambo la kawaida
 
Dude, haya ndiyo madhara ya kukariri. Sio kila element of professionalism inakuwa legislated!
Taja regulation hata huyo askari anapotakiwa kuadhibiwa kinidhamu wata quote code of conduct au ethics iliokua violated
 
Kama wewe ni mtumishi wa umma au ni askari unaelewa namna ya kuwa na adabu kokote kule unapokuwa lazima uchunge ulimi katika matamshi, RPC anatamka Hadi silaha wanazotumia kulinda na check point zilizopo unaona ni jambo la kawaida
Mzee taja kifungu kilichokua violated
 
Ikumbukwe kuwa kauli aliyotoa jana kiutendaji ndani ya jeshi la polisi huku akijuwa mkuu wake wa kazi yupo na anafanya kazi hakustahili kusema kuwa mkuu wake wa kazi anafanya kazi ila yeye akipewa ukuu wa jeshi anaweza kufanya vizuri zaidi

Hii imeonesha kuwa nafasi aliyeteuliwa na amri jeshi mkuu hatoshi kuliongoza jeshi hivyo basi kwa kuwa jeshi huongozwa kwa nidhamu ya hali ya juu ndiyo maana mabadiliko hayo yamefanyika ili akae makao makuu ajifunze nidhamu pamoja na kuandika vipeperushi mabalimbali vinavyolihusu jeshi la polisi.
 
Ila Wankyo alikuwa sahihi angeongezea IGP kashindwa kazi nipewe mimi. Askari wengi wana mawazo kama ya Wankyo lkn hawana pa kusema.
Hao askari walikuambia ?

Au umejisikia tu kuwasemea ?
 
Back
Top Bottom