Ostrich eggs
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 638
- 453
Thankyou
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thankyou
kila mtu na ndoto zakeHuyu anaweza kutamani nafasi ya amiri Jeshi Mkuu hafai kabisa
Pwani TAMU Sana mkuu..Huyo Wankyo kifupi anaonyesha alikuwa hataki uhamisho kwa nini yeye ndie anajua.
Anaonyesha wazi kuwa alikuwa haivi na IGP kwa nini yeye ndie anajua
Lakini ni kama mtu kaamua kuwa sihami Pwani
Wankyo atapangiwa kazi chini ya uangalizi wa 0.
Ameshajua hajui, Sasa hivi hata akiwapigia wenzake simu, hazipokelewi, wengine washa m block tangu Jana.
😁😁😁😁😁😁😁Hivi jeshini kama boss wako anafanya ujinga unatakiwa ufanye nini
Lakini mbona bosi yake alimbagaza Mama na Mama akamvumilia? Mama ni afande mkuu ambapo ilikuwa utovu mkubwa kuliko huyu
Sent using Jamii Forums mobile app
Taarifa zilizopo ni kwamba RPC KAGERA ambaye ametoka Pwani na kupelekwa mkoa Kagera ndugu Wankyo nadhani kauli ya jana ya kuhitaji ukuu wa Jeshi la Polisi imemuungiza matatani hii imeonesha hana nidhamu ya hali ya juu ndani ya jeshi hivyo basi staff officer aliyepo mkoa wa Rukwa ameteuliwa kuwa kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Kagera na Wankyo amepelekwa makao makuu ya jeshi mkoani DODOMA ambapo ni mji mkuu wa tanzania.
Ikumbukwe kuwa kauli aliyotoa jana kiutendaji ndani ya jeshi la polisi huku akijuwa mkuu wake wa kazi yupo na anafanya kazi hakustahili kusema kuwa mkuu wake wa kazi anafanya kazi ila yeye akipewa ukuu wa jeshi anaweza kufanya vizuri zaidi hii imeonesha kuwa nafasi aliyeteuliwa na amri jeshi mkuu hatoshi kuliongoza jeshi hivyo basi kwa kuwa jeshi huongozwa kwa nidhamu ya hali ya juu ndiyo maana mabadiliko hayo yamefanyika ili akae makao makuu ajifunze nidhamu pamoja na kuandika vipeperushi mabalimbali vinavyolihusu jeshi la polisi.
Pia soma: Wankyo Nyigesa RPC Kagera: Natamani kuwa IGP, aliyepo hajafanya makosa lakini mimi nitafanya mazuri zaidi
Wewe kwasababu uko too politicalised siwezi kubishana na wewe! Jeshi lina mistari yake. Huyo RPC Inawezekana kadanganywa na wanasiasa kama ninyi!Sirro hastahili hiyo heshima kutokana na ukweli unaoufahamu
Kama ni hivyo hapo planners ni zero.Hivi mnafikiri wankyo kakosea!!!?hapana anajua asemacho ni suala la muda tu atakuwa IGP!!Mama kamrudisha makao makuu ILI awe IGP!!!Ngojeni nione!!
Kama u IGP ungekuwa na mipango hii nchi ingeshakuwa Congo. Hatuna nchi ya ovyo kwa kiwango hicho. Hiyo mipango ni kwenye mamlaka za kiraia sio kwenye majeshi na hasa top position kama hii.Huyu afande ana akili nyingi Sana, hakutaka kwenda Kagera. Alijua akim- provoc Mkuu wake, obviously atapelekwa makao makuu. Pale ndo atajijenga na Kisha ndoto zake zitatimia.
Hivi mnapajua Kagera?! Waache waende hao waliotoka Rukwa labda watapata nafuu.
Mawazo binafsi.
Makonda aliwahi mpiga kibao Warioba na ukuu wa mkoa akapewa ukiwa tz lolote linawezekana!!Siku akipewa huo uIGP ataona madhaifu ya rais na atatamani kuwa rais ,mwisho wa siku ni uasi ndani ya jeshi
Kuna nini mkuu huko Kagera?Huyu afande ana akili nyingi Sana, hakutaka kwenda Kagera. Alijua akim- provoc Mkuu wake, obviously atapelekwa makao makuu. Pale ndo atajijenga na Kisha ndoto zake zitatimia.
Hivi mnapajua Kagera?! Waache waende hao waliotoka Rukwa labda watapata nafuu.
Mawazo binafsi.
Ngoja tuone...Wankyo ndio IGP ajaye huo mchezo tu umefanywa Hapo!!na wanajuana Sana na katumwa afanye hayo yote!!!