wenda pia mzee wangu sirro akawa anatamani hivyo , hata angekua mzazi wangu ningemshauri afanye hivyo , ni kipindindi kigum mzee huyu anapita but mungu amsimamieHuyu kama hana baraka za Mkulu,basi anakoelekea anaweza kupigwa chini wakati wowote ule.