IGP Sirro, amewaomba viongozi wa dini kukemea baadhi ya maneno yanayotamkwa na wanasiasa badala ya kukaa kimya

Sirro bwana. Mbona hawa watu wanatapatapa hivi? Washaona mtu wao hatakiwi wanahaha sasa.
 
Huyu kama hana baraka za Mkulu,basi anakoelekea anaweza kupigwa chini wakati wowote ule.
wenda pia mzee wangu sirro akawa anatamani hivyo , hata angekua mzazi wangu ningemshauri afanye hivyo , ni kipindindi kigum mzee huyu anapita but mungu amsimamie
 
siro amegundua kuwa viongozj was Dini hawamsapoti jiwe,eti mmekuwa waoga mbona hamuongei,
walipokuwa wakiteka watu na kupiga risasi kweupe wapinzani walijiona wanahaki LISU NI MOTO WA MAKAA YA MAWE HAUZIMWI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…