4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Mkuu sio kirahisi Kama ufikiliavyo,Ukiw kwenye Jamii ya Watu wenye Akili za Zaidi Lazima Ukubali Kuwa Magu Kashashinda ila Hamu yetu nikujua anashinda kwa Asilimia Ngapi??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu sio kirahisi Kama ufikiliavyo,Ukiw kwenye Jamii ya Watu wenye Akili za Zaidi Lazima Ukubali Kuwa Magu Kashashinda ila Hamu yetu nikujua anashinda kwa Asilimia Ngapi??
Anawafokea kwa mujibu wa Sheria au takwa binafsi. Thus tunataka katiba mpya ili vyombo viwe huru vitii Sheria na sio kutii mtu
Mkuu asante kwa hii picha .nimewaonyesha familia yangu wamelia kwa uchungu,na wamtambua kuwa hii imetokana na unyama Wa ccm. Same khaki kishka watampIgia kura TAL,Ni yeyeeee...View attachment 1587153
Yan anawaza tu cheo chake pengine na hofu ya risasi walizompiga Tundu LissuUsimwite Sirro call him IGP Zero brain....!! Zero hafuati Maadili na Uweledi wa Police Force baali anatekeleza na kufuata Maagizo ya Chama Cha Mauaji(CCM)!
Polisi wanatengeneza wenyewe mazingira ya kudharauliwa, mimi mwenyewe nawadharau kishenzi!! Angalau Lissu anajibizana nao,mimi ningewatemea mate usoni halafu naenda zangu,vibaraka wa hovyo kabisa haoIGP kaisha sema Lisu hana ubavu wa kupambana na askari,
wamemvumilia weee..wameona sasa huyu jamaa anapoelekea atawatemeea mate....maana ameonyesha dharau za kutosha!!
Ajabu...lkn ni Sawa, Madikteta huwa hawaondoki madarakani kwa hiyari eti....wanavopaniki hivi tunajua We are Very close...na Zero yeye anawaza cheo chake cha IGP lkn askari wa chini kwa Kawaida huwa wako kinyume kabisa na Wakubwa wao, atawaamrisha wawapige raia risasi lkn askari watagoma, tumeona katika nchi nyingi duniani...hata juzi Mali tu hapaHivi nauliza igp ameshajua nan rais kama sio anapata wapi nguvu ya kumtisha mgombea kutoka chama kikubwa cha upinzani
Kwani wewe humjui nani Rais?Hivi nauliza igp ameshajua nan rais kama sio anapata wapi nguvu ya kumtisha mgombea kutoka chama kikubwa cha upinzani
Nyie mashabiki wa kibaraka nyamazeni, subirini tufanye kazi yetu 28.10.2020, atawapa mrejesho huyo kibaraka wenu na uzuri atawakimbia kurudi kwa mabeberu, ila atakuwa kakiona cha moto, maana baada ya uchaguzi mambo yatakuwa pmwitompwitoPropaganda za UBEBERU hazina nafasi wala mashiko safari hii.
Nchi unaxozitegemea kiuchumi, Kiulinzi, Kiafya na Kiteknolojia huwezi kuzibeza kwa kuziita ati Mabeberu.
Mwacheni muone atakavyopigwa chini November.Hivi nauliza igp ameshajua nan rais kama sio anapata wapi nguvu ya kumtisha mgombea kutoka chama kikubwa cha upinzani
Sasa kama hata akiwa lissu inamzuia nini kutekeleza wajibu wake wa kuhakikisha amani inakuwepo? Na lissu asijisahau hivyo vyombo vya usalama ndivyo vitakavyohakikisha atawale au asitawale kabisaaa maana kizazi chao ni kipana ajifunze kwa marehemu kabila wa Congo.Hivi nauliza igp ameshajua nan rais kama sio anapata wapi nguvu ya kumtisha mgombea kutoka chama kikubwa cha upinzani
Hamtaki ACT na CDM kuungana Ila Ni sahihi ccm kuungana na Igp,tume,msajili,tlp dhidi ya Lisu.Mpaka ije hiyo Katiba, ila kwa sasa hivi Raisi Magufuli ndiyo Mkuu wa vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama, tundu ni mkuu wa familia yake tu labda kama hata anayo, ...
Hongera Kamanda Sirro kwa promo mgombea, leo Media radio, tv natumai kesho magazeti na redio habari itakuwa Lissu, imekuwa nadra kupata taarifa za Lissu.