Uchaguzi 2020 IGP Sirro amtaka Tundu Lissu kuripoti kituo cha polisi Moshi mkoani Kilimanjaro

Uchaguzi 2020 IGP Sirro amtaka Tundu Lissu kuripoti kituo cha polisi Moshi mkoani Kilimanjaro

Anawafokea kwa mujibu wa Sheria au takwa binafsi. Thus tunataka katiba mpya ili vyombo viwe huru vitii Sheria na sio kutii mtu


Mpaka ije hiyo Katiba, ila kwa sasa hivi Raisi Magufuli ndiyo Mkuu wa vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama, tundu ni mkuu wa familia yake tu labda kama hata anayo, ...
 
Usimwite Sirro call him IGP Zero brain....!! Zero hafuati Maadili na Uweledi wa Police Force baali anatekeleza na kufuata Maagizo ya Chama Cha Mauaji(CCM)!
Yan anawaza tu cheo chake pengine na hofu ya risasi walizompiga Tundu Lissu
 
IGP kaisha sema Lisu hana ubavu wa kupambana na askari,
wamemvumilia weee..wameona sasa huyu jamaa anapoelekea atawatemeea mate....maana ameonyesha dharau za kutosha!!
Polisi wanatengeneza wenyewe mazingira ya kudharauliwa, mimi mwenyewe nawadharau kishenzi!! Angalau Lissu anajibizana nao,mimi ningewatemea mate usoni halafu naenda zangu,vibaraka wa hovyo kabisa hao
 
Hivi nauliza igp ameshajua nan rais kama sio anapata wapi nguvu ya kumtisha mgombea kutoka chama kikubwa cha upinzani
Ajabu...lkn ni Sawa, Madikteta huwa hawaondoki madarakani kwa hiyari eti....wanavopaniki hivi tunajua We are Very close...na Zero yeye anawaza cheo chake cha IGP lkn askari wa chini kwa Kawaida huwa wako kinyume kabisa na Wakubwa wao, atawaamrisha wawapige raia risasi lkn askari watagoma, tumeona katika nchi nyingi duniani...hata juzi Mali tu hapa
 
Propaganda za UBEBERU hazina nafasi wala mashiko safari hii.
Nchi unaxozitegemea kiuchumi, Kiulinzi, Kiafya na Kiteknolojia huwezi kuzibeza kwa kuziita ati Mabeberu.
Nyie mashabiki wa kibaraka nyamazeni, subirini tufanye kazi yetu 28.10.2020, atawapa mrejesho huyo kibaraka wenu na uzuri atawakimbia kurudi kwa mabeberu, ila atakuwa kakiona cha moto, maana baada ya uchaguzi mambo yatakuwa pmwitompwito
 
Maneno ya Sirro yamejaa kiburi cha kiutawala na kimamlaka kilichopitiliza sana. Anafanya intimidation tactics za kitoto mno.

Kitendo cha kuwatisha wananchi kuwa hawawezi kulishinda jeshi la polisi hata iweje ni a very serious public intimidation threat. Lisu should never back down because that is what they want him to do right now. CCM wanatest mitambo kwamba, je wanaweza kumtisha Lissu na akatishika kweli? NEC na Msajili wa vyama wote wameshindwa kumtisha Lissu. Clearly, hata IGP atashindwa kumtisha. Kwa hii series ilivyo, baada ya IGP, atafuata CDF au DGIS. All in all, watafanya juu chini mmojawapi afanikiwe kumu-intimidate Lissu. Yaani scripts zao ni nyepesi mno kuzi-decode.

Pamoja na vitisho vingi alivyotoa IGP kwa Lissu, bado ameshindwa ku-link vitisho vyake na jinai yoyote ambayo Lissu anaweza kutuhumiwa nayo. Alafu akaishia kumlazimisha aende kuripoti police Kilimanjaro.

NEC, Msajili wa vyama, na polisi wameonyesha a very serious level of double standards katika kusimamia haki kipindi hiki cha kampeni za uchaguzi mkuu, ambapo CCM amevunja taratibu nyingi bila kunyooshewa kidole hata kimoja. Lisu na Maalim Seif wanashambuliwa kwa sababu wao ndio serious threat kwa utawala wa CCM.

Amani ya nchi hii, haiko mikononi mwa vyama vya siasa, bali iko mikononi mwa NEC, msajili wa vyama, polisi na vyombo vingine vya usalama kusimamia misingi ya haki wakati wa kampeni na siku ya uchaguzi. Hiyo ndio njia pekee ya kudumisha amani ya nchi hii. Kinyume cha hapo, kuna giza nene mbele.
 
Hongera Kamanda Sirro kwa promo mgombea, leo Media radio, tv natumai kesho magazeti na redio habari itakuwa Lissu, imekuwa nadra kupata taarifa za Lissu.
 
Hivi nauliza igp ameshajua nan rais kama sio anapata wapi nguvu ya kumtisha mgombea kutoka chama kikubwa cha upinzani
Sasa kama hata akiwa lissu inamzuia nini kutekeleza wajibu wake wa kuhakikisha amani inakuwepo? Na lissu asijisahau hivyo vyombo vya usalama ndivyo vitakavyohakikisha atawale au asitawale kabisaaa maana kizazi chao ni kipana ajifunze kwa marehemu kabila wa Congo.
 
Mpaka ije hiyo Katiba, ila kwa sasa hivi Raisi Magufuli ndiyo Mkuu wa vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama, tundu ni mkuu wa familia yake tu labda kama hata anayo, ...
Hamtaki ACT na CDM kuungana Ila Ni sahihi ccm kuungana na Igp,tume,msajili,tlp dhidi ya Lisu.
 
Hongera Kamanda Sirro kwa promo mgombea, leo Media radio, tv natumai kesho magazeti na redio habari itakuwa Lissu, imekuwa nadra kupata taarifa za Lissu.

Wameona waokoe jahazi baada ya bossi wao kuzidiwa
 
Nikumkumbusha sirro kuwa anadeal na mtu Yuko anayejua sheria, Hoja strong, na asiyembishwa... Hao polisi wake wa Kilimanjaro hamwezi atawaburuza kwa sheria ni Hoja wataaibika bure.
 
Back
Top Bottom