Mackanackyyy
JF-Expert Member
- Mar 26, 2019
- 2,338
- 5,271
Sirro biashara ya kuuza binti zako umemaliza? UsitutisheAmesema hakuna mtu yeyote anayeweza kupambana na Jeshi hilo na kwamba wote wanaovunja sheria za nchi watashughulikiwa.
Nimeona viongozi wa Chadema wanakaripia askari, Tundu Lissu anakaripia watu wangu, namuonya sana, jana nimeongea na Mbowe, akae azungumze na watu wake watii sheria bila shuruti.
"Tundu Lissu hayupo juu ya sheria, tukiamua kutimiza majukumu yetu asilalamike,"IGP Simon Sirro
View attachment 1587125
Akileta u Amsterdam wake wanamgeukaKwà taarifa yako msafara wa Lisu unaongozana na askari wenye silaha za kuvita.
Hapa ndio utazidi kushangaa.
Tangu nchi imepata uhuru,wewe ni John wa pili mwenye mawazo na fikra hopeless .Lisu asichanganye polisi wa kawaida na wale wa mahakamani wanaobishanaga nao!
Hawa hawaangalii sura!
Unamsemea wewe mbona ameshajimwa haki mara kibao na hajafanya kitu. Matibabu hakulipiwa pia ubunge akavuliwa just to mention few. Sasa mbona hatuoni amepigania hizo? Kawadanganye mbumbumbu wenzako huko.Natumaini mkuu shule ipo kichwani,kwani anayeongelewa hapa ni mm au lissu? Nimesema na narudia kusema kwamba Lissu ni mtu anajielewa na hategemei mtu yeyote kwenye kupata haki yake,anajua jinsi ya kuipigania mwenyewe pasipo kujali chochote au yeyote yule.
Atakapo shughulikiwa mtaanza kulialia humu JF.Tangu nchi imepata uhuru,wewe ni John wa pili mwenye mawazo na fikra hopeless .
Huku NEC, Huku Msajili, Huku Polis Huku CCM ..Wote mishale yao inaelekea kwa Lissu ...
Ni mbumbumbu pekee kama wewe huwa wanawaona wenye akili mambumbumbuUnamsemea wewe mbona ameshajimwa haki mara kibao na hajafanya kitu. Matibabu hakulipiwa pia ubunge akavuliwa just to mention few. Sasa mbona hatuoni amepigania hizo? Kawadanganye mbumbumbu wenzako huko.
Ndiyo mlichobaki nacho. Yaani hamjiamini kabisa yaani kila mara ICC.Sirro unaforce kuunganishwa kwenye safari ya watu watakaoburuzwa ICC
Karibu mfumo wanamchoka msaliti Lissu itabidi akimbilie Ubelgiji tena.Hawa wajinga wanakosa kusoma Alama za Nyakati!!!
Mtu aliyepigwa RISASI 38 na 16 zikimwingia mwilini na bado aka-SURVIVE na Leo ni mgombea wa Urais JMT......Bado Polisi, CCM, MSAJILI na TISS hawashangai na kujiuliza??
Ok acha waendelee na upumbaf wao bila shaka muda utaongea!!!
Nimekuuliza hizo haki mbona hajazipigania?? Jibu hoja.Ni mbumbumbu pekee kama wewe huwa wanawaona wenye akili mambumbumbu
HAFUNGIWI MTU KAMPENI HAPA ACHA KIWEWE.LISU2020Safi sana, fungia kufanya kampeni kabisa, kinukisheni sasa tuone, ...
Karibu mfumo wanamchoka msaliti Lissu itabidi akimbilie Ubelgiji tena.
Hahahaaa faru John.Nyinyi endeleeni kumvimbisha kichwa tu huyo Lissu. Atakapoanza kunyea ndoo mtakaa kimyaa kama wakati ule Faru John ananyea ndoo mlikuwa mbaliii.
Tutaona kama kweli watz wamemchoka tarehe 28/10/2020.Hata Magufuli Watanzania wamemchoka Sana tu....Lakini kwa sababu ya Katiba mbovu mfumo wa Kidikteta unamlinda.......Shame on Magufuli na CCM yake!!!!
Hawa Bujumbura line wasikusumbue, wako wengi sana Tz na humu JF. Ni waHutu lakini hawana utu, kama huyo wanayemtetea. Mapigano ya wenyewe kwa wenyewe ndio yalisababisha wakapewa hifadhi Tz na hatimaye kuasilishwa, leo wana kiburi kuliko waliowakaribisha.Mkuu kuna siku utakosa hata huo mkono kwa ajali
Utakula vipi?
Utaandika vipi?
Hujafa hujaumbuka
Usicheke mtu hata akiwa Baba yako au Mama yako kazeeka na hawezi kutembea vizuri au anasahau sahau mambo usicheke
Safari ni moja leo kwake kesho wewe tena pengine wewe ukawa na tatizo kubwa zaidi kesho tu
Hujafa hujaumbika
Utapambana na say US? kwa mfano tuSafi sana, fungia kufanya kampeni kabisa, kinukisheni sasa tuone, ...