Uchaguzi 2020 IGP Sirro amtaka Tundu Lissu kuripoti kituo cha polisi Moshi mkoani Kilimanjaro

Uchaguzi 2020 IGP Sirro amtaka Tundu Lissu kuripoti kituo cha polisi Moshi mkoani Kilimanjaro

Amesema hakuna mtu yeyote anayeweza kupambana na Jeshi hilo na kwamba wote wanaovunja sheria za nchi watashughulikiwa.

Nimeona viongozi wa Chadema wanakaripia askari, Tundu Lissu anakaripia watu wangu, namuonya sana, jana nimeongea na Mbowe, akae azungumze na watu wake watii sheria bila shuruti.

"Tundu Lissu hayupo juu ya sheria, tukiamua kutimiza majukumu yetu asilalamike,"IGP Simon Sirro

View attachment 1587125
Kiboko yao hii hapa, endeleeni kutafuta maisha ya ustaafu gerezani.
FB_IMG_1601559493930.jpg
 
Viongozi gani wa Dini unasema wakemee wakati kwenye Dini wanasema mziki wa Dunia ni dhambi lakini tunaona wanatikisa miguu na mikono wakati wa?
 
Tumeshasema wanavyomuita na kumtajataja ndo wanazidi kumpa kura za huruma na umaarufu maana mtu mmoja anapondwa mawe kila sehemu munategemea nini?
 
Binadamu ukishaanza kuona unaogopa kutetea haki yako kwa kuogopa jela au kuangalia watu wengine,jua huna tofauti na maiti.
Mbona wewe umejificha nyuma ya keyboard kama kweli huogopi?
 
Kamanda siro na wewe usitufokee!!! twambie ni sheria ipi Rais wa watanzania mtarajiwa Tundu Lissu amevunja kwa kuwaonya watu wako polisi ambao wako buzy kupiga picha mikutano yake yote wakati mikutano ya mgombea wa sisiem hawafanyi hivyo?. Tunakuonya usitufokee wapiga kura tunajambo letu 28/10/2020. Mwaka huu tusilaumiane
 
Amesema hakuna mtu yeyote anayeweza kupambana na Jeshi hilo na kwamba wote wanaovunja sheria za nchi watashughulikiwa.

Nimeona viongozi wa Chadema wanakaripia askari, Tundu Lissu anakaripia watu wangu, namuonya sana, jana nimeongea na Mbowe, akae azungumze na watu wake watii sheria bila shuruti.

"Tundu Lissu hayupo juu ya sheria, tukiamua kutimiza majukumu yetu asilalamike,"IGP Simon Sirro

View attachment 1587125
Ukimuuliza sheria ipi amevunja halina majibu kwa sabab linatumika limepigwa beat na jiwe hovyo kabisa
 
Back
Top Bottom