Uchaguzi 2020 IGP Sirro amtaka Tundu Lissu kuripoti kituo cha polisi Moshi mkoani Kilimanjaro

Uchaguzi 2020 IGP Sirro amtaka Tundu Lissu kuripoti kituo cha polisi Moshi mkoani Kilimanjaro

Nilikuwa sina mpango wa kumpigia kura Tundu Lissu kwasabau JPM amefanya mengi yanaonekana.......
sasa ndio nitampigia Lissu once and for all
Dah mkuu nimekua mini na siamini ni wewe. Kwasababu kwenye nyuzi zako na comments zako za nyuma ulikuwa pro Magufuli kwa nguvu zote hadi nilikuwa na ingia anga zako na kukuwin kisaikolojia.

Ni wewe kweli ama ni mwengine?
 
Kwa ubabe unaofanywa na polis na CCM, kama unaipenda haki huwezi IPA kura CCM kamwe.
 
Nyinyi endeleeni kumvimbisha kichwa tu huyo Lissu. Atakapoanza kunyea ndoo mtakaa kimyaa kama wakati ule Faru John ananyea ndoo mlikuwa mbaliii.
Unafikir Lissu ni Lowassa au Kamuulize afande Muroto mzee wa kipigo cha mbwakoko na ushupavu wake na vitisho ila kwa Lissu alinywea maana Lissu alimfuata live akamwambia mzee nipe gari langu

Achana na huyo muulize huyo kamanda wa Nyamongo alipokuwa anapiga watu mabomu baada ya Lissu kumfuata ikawaje ikabidi asalimu amri

SASA IKO HIVI Lissu ni kama Mafuriko kabla ya kukukumbuka unaweza sema sijui tunayazuia hivi au vile ila yakikukumba lazma uhame nyumba
Kama huamini subiria baada ya kwenda huko kwa Sirro kitatokea nini lazma Siro atakuja na lugha za kistaarabu ambazo wewe Mataga hutotegemea
 
Kafanya kosa gani tena? Amempelekea barua ya wito au katangaza tu kwenye vyombo vya habari?

Maana si ajabu Lissu hasiripoti kwa madai kuwa hajapokea barua ya wito.

Hawa policcm wajipange wanapo pambana na Lissumaana wataambulia aibu tu.
 
Dah mkuu nimekua mini na siamini ni wewe. Kwasababu kwenye nyuzi zako na comments zako za nyuma ulikuwa pro Magufuli kwa nguvu zote hadi nilikuwa na ingia anga zako na kukuwin kisaikolojia.

Ni wewe kweli ama ni mwengine?
Ni mimi nimechenji gia.

sipendi uonevu kabisa.

ubavu ukitumika huwa nachukia.

Yaani Magu nilikuwa nampigia kura but for now.....big no
 
Back
Top Bottom