Watapata taabu sana yaani,tume walimwita Lissu then Lissu akawapiga kifungu kuwa hawezi kwenda kwa kuitwa kwenye mitandao.Tume wakapeleka barua makao makuu ya chadema kwa bodaboda na kusogeza tarehe ya kumwita mbele halafu Lissu akawapiga kifungu kingine kuwa barua anatakiwa kupelekewa yeye mwenyewe mkono kwa mkono.Sasa hivi tume wanahaha jinsi ya kumpelekea Lissu barua mkono kwa mkono na siku wakipeleka watakumbana na kifungu kingine.Huyo IGP atapigwa kifungu simple tu kuwa anatakiwa kupeleka malalamiko yake kwenye tume ya maadili halafu atanywea kama zuzu