Uchaguzi 2020 IGP Sirro amtaka Tundu Lissu kuripoti kituo cha polisi Moshi mkoani Kilimanjaro

Nilikuwa sina mpango wa kumpigia kura Tundu Lissu kwasabau JPM amefanya mengi yanaonekana. sasa ndio nitampigia Lissu once and for all
Unampigia Lissu kwasbbu ya kuonywa asikaripie askari. Kichwa kibovu kabisa
 
Safi kabisa,! Lisu asifikiri Beberu wake Amsterdam atamsaidia kwa lolote hii ni chi huru
Hakuna nchi iliyokuwa na Uhuru mkubwa kama Libya hapa Africa. Jidanganye nyuma ya keyboard!
 
Unampigia Lissu kwasbbu ya kuonywa asikaripie askari. Kichwa kibovu kabisa
Hapendi uonevu au ubabe ,dhuruma na hujuma wanazofanya CCM na vibaraka wake ..kama Mimi pia !
 

Tunamwomba Afande Siro aanzie kwa kuwakamata waliotaka kumwua Mheshimiwa Lisu tarehe 7 Mwezi wa 9 Mwaka 2017
 
Sirro huna uwezo wa kumtisha Lissu , hujawahi kuwa nao na wala hutakuja kuwa nao
 
Yaaani sijawahi ona IGP kama huyu leo anaongea Lissu anatisha watu wangu,hivi kama wangeheshimu na kumuheshimu Lissu angewakemea na wasikemewe wao nani katika dunia hii
 
Kwanza tumuulize Sirro alishawashughulikia waliompiga risasi Lissu.

Huyu Mzee vipi , hajui Kesho anaweza amka akakuta yeye siyo IGP.
Sirro acha blah blah miaka 5 mnaminya uhuru wa watu kukutana na kujieleza .
 
Hili Jeshi la polisi lifumuliwe.Makada wa CCM waondoshwe kuongoza hili Jeshi.Unashangaa kina Mahita na Kova wanastaafu Jeshi na kwenda kugombea ubunge kupitia CCM.Inashangaza lini walipata kadi za uanachama!
 
Gwajima alisema ili ule Chipsi yai, ni lazma mayai yavunjike. Hivyo haya yanayotokea tuyategemee sana kipindi hili Cha lala salama mana anguko la JPM ni anguko la Sirro na genge lake pia.

Sirro anauaminisha Umma kwamba kukaripia mtu au Polisi ni kosa kisheria. Tumeona Mara kwa Mara JPM akimkaripia yeye Sirro Mwenyewe na vigogo wengine wa Jeshi la Polisi pamoja na Mawaziri. Ni lini alimwamrisha JPM akaripoti kituo Cha Polisi? Au JPM yupo juu ya Sheria? Sirro unakosea Sana kujiingiza kwenye mambo yasiyokuhusu.

Amini nakwambia,mambo haya ya uonevu unayoyafanya kipindi hiki, yanakihariabia zaidi Chama Tawala badala ya kukijenga. Kumbuka miaka mitano ya utawala huu watu wengi wamenyanyaswa na Jeshi hili. So unachokifanya kinatonesha makovu ya watu.

Kitu ambacho TL anapaswa kufaham kuwa kadri anavyoelekea mwishoni kwa mafanikio makubwa. Vigogo wengi wanaumia Mana uhakika wa ajira na positions zao unazidi kupungua hivyo ajitahidi kupunguza munkari na jazba ili tufike salama.
 
Bado wanaendelea kumuita kwanjia ya online wamwandikie barua atasema sijaona wito,Leo nimeona anaelekea dareslaam hana habari Lissu anachanja mbuga
 
Kamanda Sirro jiangalie na uwe makini. Maana hienda usipate hata nafasi ya kufanya haka kabiashara kakuwanadi mabint zako kwenye harusi za wenzao.
Your browser is not able to display this video.
 
Ana u genius gani kichaa mwenye faili mirembe
Kama kichaa kwanini nchi nzima inashandana kumjibu, sasa hapo nani ni kichaa. Unagombana na Nguruwe kweny matope? Watu hawatamshangaa Nguruwe sababu pale ni eneo lake la kujidai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…