citizensindevelopment18
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 1,636
- 830
Nia ovu hujipenyeza kwenye taharuki au shida. StopWanashangaza, wanafanya watu wajinga sana kuwa wataamini kila wasemalo. Hivi nani awezaye fanya fujo hizo msibani kweli?
Ni sawa na tumsikie paroko au mchungaji anatangaza kanisani "jumapili ijayo waumini waliopanga kunya humu ibadani wata shughulikiwa" halafu watu waamini