IGP Sirro: CHADEMA wanamuona Mbowe Malaika hawezi kosea, ushahidi tunao

Chama kifutwe kivipi?Chadema siyo majengo wala siyo ofisi wala siyo mtu wala siyo sheria ya vyama vya siasa wala siyo msajili wa vyama vya siasa bali ni imani inayoishi na kutawala ndani yetu.
 
Agekuwa gaidi angekuwa ameshakamatwa siku nyingi! Mtu yuko huru hadi anapodai katiba mpya ndiyo mnambabkikizia kosa la ugaidi!!!! Iteligensia yenu iko wapi? Imelala? Mnamtumia salamu za pole gaidi kwa kufiwa na kaka yake? Hivi gaidi mnamjua mnamsikia?

Gaidi yaani terrorist kw lugha za wenzetu? Wikipedia anaidefine kuwa ni "Terrorism is, in the broadest sense, the use of intentional violence to achieve political aims.[1] It is used in this regard primarily to refer to violence during peacetime or in the context of war against non-combatants (mostly civilians and neutralmilitary personnel)."

Mbowe lini alifanya hiyo violence dhidi ya wananchi? Terrorist huuwa wananchi kushinikiza serikali iliyoko madarakani. Kitu wanachofanya boko haram ni mfano mzuri.

Wanaua civilians kuishinikiza serikali ikubaliane na hoja zao. Mbowe kafanya lini hayo? Zaidi upande wa pili ndiyo unaua sana raia. Je tuwaite terrorist?
 
Vipi kuhusu ugaidi wa maccm? Au macho hayaoni na masikio pia ni kiziwi!?
 
Wanaouliza kwa nini Mbowe amekamatwa sasa na si vinginevyo wanasahau kuwa Mbowe, Lema, Meya wa zamani Ubungo Boniface walikamatwa mara baada ya matokeo ya uchaguzi mkuu kutangazwa na kabla Rais hajaapishwa kwa kuchochea maandamano yasiyo na kikomo kupinga matokeo. Mambosasa alihojiwa na vituo vya ITV na TBC na kutoa madai hayo hayo ya ugaidi.
 
Sirro ufahamu kuwa sisi kama watu wenye akili zetu:

1. Tunajua kuwa mwenyekiti Mbowe mmembambikizia kesi
2. Tuko kwenye nafasi za kujua mnambambikizia kesi....
Kubambikia watu kesi si sawa kabisa ila kama kweli mtu ni gaidi basi sheria ifuate mkondo wake.
 
Hakuna mtu malaika isipokuwa kuzushia mtu ubaya nayo ni dhambi
 
Tumuache Mbowe akabiliane na tuhuma zake zinazo mkabili.

amesha tuhumiwa kwa Ugaidi hakuna jinsi.

uliwahi kumsikia mke wake akijitokeza hadharani na kutamka kuwa mume wake sio Gaidi?

sasa wewe nani haswa ujitutumue!

tuache!! kujipotezea muda tafuta ugali wako na wanao.
 
Kubambikia watu kesi si sawa kabisa ila kama kweli mtu ni gaidi basi sheria ifuate mkondo wake.

Unaonaje kwa vile hii kesi ina tashwishi la dhuluma ya mamlaka tunayoipa dhamana ya kutulinda, basi sote ikiwamo mamlaka tuitikie wito huu wa Mheshimiwa Rais:

 
Mbona hata nyie MEKO mlimuona ndo MUNGU wenu.. mliulizwa?
 
unamkumbuka huyu dogo?

 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…