IGP Sirro, hali ya usalama barabarani inatisha. Chukua hatua haraka!

Unaweza ukatuwekea vyanzo vya ajali hizo mkuu.

Ninachojua tu madereva wengi sahv ni sawa na wendawazim wanapokuwa Barabarani

Ova
Huko ndio kufeli kwa kushindwa kuwadhibiti madereva
 
Wamezidi rushwa ndio maana ajali kila siku
 
Utafiti wangu unaonyesha magari ya Kichina aina ya HOWO yamehusika sana kwenye ajali. Hebu chunguzeni na fuatilia workmanship ya hayo magari especiaaly mfumo wa brake
Howo ngapi zimepata ajali?
 
Tatizo polisi wameshaona kupokea rushwa na kuchukua hela za raia ni haki yao.. hapo usitegemee watatimiza majukum yao hata akija nani. Madereva wengi hata akiwa amekamilisha kila kitu lakini bado anatakiwa kuwa na hela ya trafiki na sio ya faini
Wametajirika sana hakuna traffic asiye na magari na majumba ya kifahari
 
Ubovu wa breki ni ubovu wa gari ni jukumu lao pia
 
Kama nimesoma uzi vizuri mleta uzi ametaja ubovu wa magari ambayo breki inaingia humo na ubovu wa barabara ameutaja pia.
Kumbuka polisi kikosi cha usalama ni jukumu lao kukagua ubovu wa gari lkn wao huegemea makusanyo tu
Asante kwa kunisaidia
 
Furaha yao ni kuona magari mabovu ili wavune vizuri
 
Katika visababishi vya ajali ulivyoviainisha umesahau kimoja ambacho kinaweza kuwa kikubwa kuliko hivyo vingine nacho ni ubovu wa barabara zetu.
Barabara zetu sii rafiki kabisa katika uchumi wa kati na kuenda huko juu. Labda tuendelee kubaki dunia ya tatu kwa kushindwa kwenda speed ya uchumi wa kati kwa kuzuia au kuulaza uchumi pale tunapokatisha safari za usiku kwa wasaka uchumi.
Magari yanazuiwa kusafirish abiria usiku kwa sababu kubwa ya ubovu wa barabara.
 
Mbona ametaja?
 
Soma hapo[emoji116][emoji116][emoji116]

Ajali za barabarani huwa na vyanzo mbalimbali kama uzembe wa madereva, ubovu wa magari, mwendo kasi na ubovu wa barabara pia huwa ni chanzo.

Katika utafiti mdogo nilioufanya nimegundua zaidi ni mwendo kasi wa madereva pamoja na
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…