Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Nimevutiwa na huyu askari mahiri, shupavu akiwa kazini.
Nipashe pg 10 leo 29 Nov 2019
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ya bia baridi na nyama choma.View attachment 1275702
Nimevutiwa na huyu askari mahiri, shupavu akiwa kazini.
Nipashe pg 10 leo 29 Nov 2019
Hapo ni kazi na dawa!Kuna watu wanaridhika na life sio mchezo
Huyu yuko na wenzake wana bajaji wameiandika ULIPO TUPO. Noma sana kwa hela ya shoe shineView attachment 1275702
Nimevutiwa na huyu askari mahiri, shupavu akiwa kazini.
Nipashe pg 10 leo 29 Nov 2019
Hivi uliwahi kukutana nao hotelini ukoana menu yao?
Naomba niishie hapo kwanza
Huwezi jua mkuu inawezekana wanaumwa viliba tumbo tuwasaidie dawa
Hiyo hela ni ya shoe shine tu, angepata EPA si angepasuka!Huyu yuko na wenzake wana bajaji wameiandika ULIPO TUPO. Noma sana kwa hela ya shoe shine
Huyo ni kilema
Mbona tumemsifu kuwa ni shupavu na mahiri.Huu ni uzalilishaji, na unyanyasaji... Hacheni kumsimanga, kumnyanyasa na kumuonea wivu
Hapana IGP na hili aliangalie kwa upana maana sasa imezidi aseee
View attachment 1275702
Nimevutiwa na huyu askari mahiri, shupavu akiwa kazini.
Nipashe pg 10 leo 29 Nov 2019
Kaaaaazi kweli kweliHuwezi jua mkuu inawezekana wanaumwa viliba tumbo tuwasaidie dawa
kuwa na kitambi kwani ni dhambi?Wakuu
Tuacheni utani askari wetu kwa vitambi wanaweza wakajizolea sifa ya kua namba moja duniani kweli ukiangalia mkuu wao hana kitambi lakini wao mitumbo hiyo hadi nahisi sio wakakamavu kabisa
Halafu wanapenda kusinzia hovyo sijui ni hayo matumbo kama wameweka mafurushi ya nguo
Hebu angalieni kama huyu hapa muone hapana wafanye mazoezi na wapunguze bia na minyama nyama
View attachment 1275705