Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
- Thread starter
- #21
Du......siri za tumbo zaanza kufichuka!Jamaa route yake ni kuanzia Morogoro road , Mabibo mwisho, maji chumvi, kigogo. Anakula rushwa balaa! Yuko na kajaa kengine in charge wake. Kama MTU akinibishia kuwa hawali rushwa nitaweka ushahidi yaani naenda kufanya tukio nawapa pesa na wanachukua.
Wanatembea na Bajaj....ni wala rushwa wakubwa! Ukiwakuta pale kigogo luhanga wamevimba matumbo utadhani wana mimba