Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
IGP Sirro, pongezi zako za pekee zikufikie maana jeshi lako lilibaini uhalifu ambao Chadema walitaka kuufanya kwa kisingizio cha kudai katiba mpya. Tunashukuru umewakamata na kuwatia nyavuni.
Lakini tuanoamba ili ufanisi mkuu upatikane, kamata na wafuasi wa Chadema amabao wanaunga mkono kuvunja amani. Usiishie kwa viongozi tu. Kamata weka ndani na wafuasi wao ambao wanamakundi ambayo yanahamasisha uvunjifu wa amani
Najua kwa kutumia teknolojia mtawapata kiulaini kabisa.
Awii...