Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Pale Mtoa mada anaskilizia commentsIgp Sirro,pongezi zako za pekee zikufikie maana jeshi lako lilibaini uhalifu ambao Chadema walitaka kuufanya kwa kisingizio cha kudai katiba mpya. Tunashukuru umewakamata na kuwatia nyavuni.
Lakini tuanoamba ili ufanisi mkuu upatikane,kamata na wafuasi wa Chadema amabao wanaunga mkono kuvunja amani. Usiishie kwa viongozi tu. Kamata weka ndani na wafuasi wao ambao wanamakundi ambayo yanahamasisha uvunjifu wa amani
Najua kwa kutumia teknolojia mtawapata kiulaini kabisa.
Awii...
polisi haiendeshwi kwa tetes na story za kisiasa. wwtakamatwa pale watakapovunja sheria. na sio utakavyo taka wwIgp Sirro,pongezi zako za pekee zikufikie maana jeshi lako lilibaini uhalifu ambao Chadema walitaka kuufanya kwa kisingizio cha kudai katiba mpya. Tunashukuru umewakamata na kuwatia nyavuni.
Lakini tuanoamba ili ufanisi mkuu upatikane,kamata na wafuasi wa Chadema amabao wanaunga mkono kuvunja amani. Usiishie kwa viongozi tu. Kamata weka ndani na wafuasi wao ambao wanamakundi ambayo yanahamasisha uvunjifu wa amani
Najua kwa kutumia teknolojia mtawapata kiulaini kabisa.
Awii...
Ulichokipata unastahili,mwana kulitafuta mwanakulipata,watu mithili yako ndio mnaotuharibia. Taiga letu.IGP Sirro, pongezi zako za pekee zikufikie maana jeshi lako lilibaini uhalifu ambao Chadema walitaka kuufanya kwa kisingizio cha kudai katiba mpya. Tunashukuru umewakamata na kuwatia nyavuni.
Lakini tuanoamba ili ufanisi mkuu upatikane, kamata na wafuasi wa Chadema amabao wanaunga mkono kuvunja amani. Usiishie kwa viongozi tu. Kamata weka ndani na wafuasi wao ambao wanamakundi ambayo yanahamasisha uvunjifu wa amani
Najua kwa kutumia teknolojia mtawapata kiulaini kabisa.
Awii...
Ila na wao hawaaminiki,upo wakati wanakubali kutumika kwa maslahi yao ama ya kundi fulani.polisi haiendeshwi kwa tetes na story za kisiasa. wwtakamatwa pale watakapovunja sheria. na sio utakavyo taka ww
Keshachezea red cardMzee wa kuchokonolewa [emoji1787][emoji1787][emoji2]
Nachelea KUSEMA ni mwezi 8 ifikapo wa kumi na mbili utamjuza tena IGP ,unaemuomba kuendelea tesa wanachadema ,eti amani ,aliekwambia tz Kuna amani ni nani?IGP Sirro, pongezi zako za pekee zikufikie maana jeshi lako lilibaini uhalifu ambao Chadema walitaka kuufanya kwa kisingizio cha kudai katiba mpya. Tunashukuru umewakamata na kuwatia nyavuni.
Lakini tuanoamba ili ufanisi mkuu upatikane, kamata na wafuasi wa Chadema amabao wanaunga mkono kuvunja amani. Usiishie kwa viongozi tu. Kamata weka ndani na wafuasi wao ambao wanamakundi ambayo yanahamasisha uvunjifu wa amani
Najua kwa kutumia teknolojia mtawapata kiulaini kabisa.
Awii...
Wakiwakamata watawekwa gereza lipi waenee huko woteIGP Sirro, pongezi zako za pekee zikufikie maana jeshi lako lilibaini uhalifu ambao Chadema walitaka kuufanya kwa kisingizio cha kudai katiba mpya. Tunashukuru umewakamata na kuwatia nyavuni.
Lakini tuanoamba ili ufanisi mkuu upatikane, kamata na wafuasi wa Chadema amabao wanaunga mkono kuvunja amani. Usiishie kwa viongozi tu. Kamata weka ndani na wafuasi wao ambao wanamakundi ambayo yanahamasisha uvunjifu wa amani
Najua kwa kutumia teknolojia mtawapata kiulaini kabisa.
Awii...
Aliomba atafutiwe mtu wa kumtekenya eti[emoji28][emoji28]Mzee wa kuchokonolewa [emoji1787][emoji1787][emoji2]
Nimesoma sehemu jamaa alimuomba mdada pm ili yule mdada akamchokonoe masaburi, ni kweli hii?Mzee wa kuchokonolewa π€£π€£π
Lakini ndio ujumbe umeshafika ππππKeshachezea red card