IGP Sirro jitihada za kudhibiti uhalifu wa CHADEMA zisiishie kwa viongozi, kamata na wafuasi wao wanaotaka kuharibu amani

Umeshaanza kujikomba komba kwa Afande IGP! Unadhani na yeye ni muumini wa ule upuuzi wako!!
 
Hawa ndiyo akina Sabaya wa baadaye,maisha yanasonga ukweli uko pale pale afanye anavyotaka kumfurahisha rais na ccm lakini usabaya upo pale pale.
 
Mwamba kapitiwa na Mods
Kuna thread ya type hii aliianzisha alfajiri sana, kuna mwana akamchana asizingue kwani mtu mwenyewe aliomba pm asokonolewe kwa Mpalange, aisee alishusha mitusi mizito mnoo! Watu wakamreport kwa Mods
 
huu nao ni uzi eti unasubil comment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…