Vipi mkuu pared linamaliza tarehe ngapiPiga kura rudi home.
ukiwa mbishi kunawabishi zaidi yako.
"mwana kulifind mwana kuliget"
mwambie babako asome hapa; mtamponza bure!! inawezekana muda huu watu wanaanda hati ya mshitaka juu yake..Ha ha ha ha, unajidanganya. Lissu hawezi kuwa Rais wa Watanzania milele.
Magufuli wako yupo kwenye taratibu za kuanza kuchunguzwa na ICC pamoja na kutolewa hati ya kukamatwa.
Tumeshasema kama mtaweza tuuweni tu wote, tulizaliwa siku moja na sote siku moja tutakufa. Kesho tunapiga kura na kuzilinda, full stop
Imagine wapiga kura wote wakae kulinda kura, itakuwaje?
Piga kura nenda nyumbani!
Wakala ni rahisi kulaghaiwa lakin sio wananchi, hata kama chama kimewaaminPiga kura yako rudi nyumbani, utaratibu wa mawakala unatosha kabisa kulinda kura za kila chama
Mungu ibariki Tanzania
Kwa CHADEMA kila mtu ni rahisi kulaghaiwa mkuu, sio wakala tuu hata mwenyekiti na katibu.Wakala ni rahisi kulaghaiwa lakin sio wananchi, hata kama chama kimewaamin