Uchaguzi 2020 IGP Sirro: Kukaa na kulinda kura ni dalili ya kufanya vurugu, baada ya kupiga kura rudini nyumbani

Uchaguzi 2020 IGP Sirro: Kukaa na kulinda kura ni dalili ya kufanya vurugu, baada ya kupiga kura rudini nyumbani

Sirro anaposema kuna vyama vimeona vimeshashindwa vinaamua kufanya fujo hiyo ramli kapiga lini? Amejuaje matokeo ya kura wakati hata uchaguzi haujafanyika? Sirro mbona hajataja hivyo vyama wakati tunaona wanaoanzisha fujo ni polisi? Au na wao ni chama cha siasa? Sirro sometimes anakosa sana weledi na hii kauli yake itamgharimu sana. Hivi vyombo vya usalama Tanzania vina matatizo gani?
 
Ha ha ha ha, unajidanganya. Lissu hawezi kuwa Rais wa Watanzania milele.
mwambie babako asome hapa; mtamponza bure!! inawezekana muda huu watu wanaanda hati ya mshitaka juu yake..

 
Piga kura yako rudi nyumbani, utaratibu wa mawakala unatosha kabisa kulinda kura za kila chama
Mungu ibariki Tanzania
 
Afande IGP wasipotiii sheria bila shuruti gongogonga sehemu zote zenye mifupa.
 
CHADEMA msiseme kuwa hamkuonywa,IGP kashamaliza,nendeni nyumbani mkalinde wake na waume zenu
 
Anaongea kana kwamba na yeye yupo kwenye safu ya kuiba kura,Amesema wakati huu si wa kufanya fujo,he wakati wa kufanya fujo ni upi,
 
Kuna tofauti gani na mwizi kumuagiza mwenye mali akinunua mali zake aondoke aache mlango wazi?.
 
Watu wale wanaopenda kufanya uhalifu huwa hawapendi kuambiwa chochote na Polisi kwa kuwa wanapenda tabia za kiovu
 
Huyu IGP atakuwa Ni kichaa Nini!!? Imethibitika Mara kadhaa Polisi wake wakishirikiana na vijana wa CCM kuiba masanduku ya Kura.
 
Ingekua kwenye nafasi ya Siro ungemwelewa, kuna vyama kilasiku vinakuja na sababu mpya za kuleta utata katika uchaguzi Kama binadamu lazima uhisi inawezekana wamesha shindwa.
 
Mpangaji wa ICC the hague mwaka ujao! yaliyotokea Zanzibar huponi wewe kuwadi wa wezi wa kura!!
 
Ni goigoi hajiamini unahisi waziwazi hana weledi wa kazi yake au ndio yupo CCM ni gogo,watu wenye weledi na kazi zao na vyeo vikuu kama hivyo wanajiamini na mkimlazimisha avunje sheria ,anajiuzulu mara moja.
Tuna viongozi wasiojiamini huko serikalini ni wasaka tonge,hivyo hata wakiua usione ajabu ndio aina ya kujipitisha kwa wakuu,mi nawaomba polisi mkailinde mtwara hawa ACT na Chadema waachieni CCM watawashugulikia.
 
Magufuli wako yupo kwenye taratibu za kuanza kuchunguzwa na ICC pamoja na kutolewa hati ya kukamatwa.
Tumeshasema kama mtaweza tuuweni tu wote, tulizaliwa siku moja na sote siku moja tutakufa. Kesho tunapiga kura na kuzilinda, full stop

Huko mpelekeni aliyekuja kutalii.. anayetumwa na mabeberu..
Kwasababu za maendeleo nchini?
Ha ha haaaaaa na bado.. beberuz wataisoma namba na tano tena na foreva..

💛💚💛💚💛💚💛
 
Leo kulinda maana yake ni kuashiria vurugu? basi na majeshi nayo yarudi makwao wasilinde mipaka maana wanaashiria vurugu
 
Piga kura yako rudi nyumbani, utaratibu wa mawakala unatosha kabisa kulinda kura za kila chama
Mungu ibariki Tanzania
Wakala ni rahisi kulaghaiwa lakin sio wananchi, hata kama chama kimewaamin
 
Wakala ni rahisi kulaghaiwa lakin sio wananchi, hata kama chama kimewaamin
Kwa CHADEMA kila mtu ni rahisi kulaghaiwa mkuu, sio wakala tuu hata mwenyekiti na katibu.

Kwao pesa kidogo tuu wanauza haki, demokrasia na utu wanavyovihubiri kila siku.

Kama huamini muulize Dr Slaa yaliyomkuta baada ya lowasa kuingia chadema na mapesa

Sasa wamenunuliwa na kina amstadamu
 
Inspekta Jenerali wa polisi Simon Sirro amesema watu 42 wamekatwa Zanzibar wakihusishwa na tuhuma za kuwashambulia polisi waliokuwa kwenye majukumu yao.

Hakuna vifo vilivyoripotiwa, amemaliza afande Sirro.

Maendeleo hayana vyama!
 
Back
Top Bottom