Duh ni noma niwataje nini?Kuna vijana wako watatu, WP wawili na mwanaume mmoja mwembamba. Wako hapa TipTop barabara ya kuelekea Mabibo. Wanakusanya rushwa kwenye daladala na bajaji kama vile konda anavyokusanya nauli kwenye daladala.
WP kazi yao ni kusimamisha halafu konda wa kukusanya ni huyo mwanaume.
Nilikuwa Arusha, same style kwa daladala zinazowaisha akina mama sokoni asubuhi. Watu wanalalamika kimya kimya.
N:B Rushwa ikiendelea kwa kasi hii haswa ndani ya jeshi la polisi, muda si mrefu wananchi wataanza kukinukisha
Trafiki anaweza kukusimamisha baada ya zebra tu akakwambia mbona umevuka bila kusimama wakati logically hakukuwa na mtu pale wa kukufanya usimame ila atataka akuandikie tu
Sahizi wakinisimamisha bila sababu huwa sisimami nanyoosha goti! Maana najua kinachotakiwa ni hela na sina mpango wa kuwapa😅Hii ki2 inakera sana. Unatamani umtandike makofi
Buku tano nyingi mkuu, mi nakuwa na change change za buku buku naziweka kwenye moja ya kidroo cha gari, akitokea tu namnyooshea buku 2..... nikijisikia Buku maisha yanasonga!!!halafu virushwa vyenyewe 5k,10k
Sahizi wakinisimamisha bila sababu huwa sisimami nanyoosha goti! Maana najua kinachotakiwa ni hela na sina mpango wa kuwapa😅
Washenzi mno kuna mmoja nilimkimbia Sinza njia ya kutoka Tandale juzi tena ni demu! Kasimamisha Eicher 2 njia nyembamba tamaa anataka namie nisimame mbele nikajifanya kama simsikii nikanyoosha hadi mataa ya kijiweni😅!Kuna yange yange mmoja ivi alinipiga mkono nikala kona mammae. Wanadhani hela ya kuokota
Washenzi mno kuna mmoja nilimkimbia Sinza njia ya kutoka Tandale juzi tena ni demu! Kasimamisha Eicher 2 njia nyembamba tamaa anataka namie nisimame mbele nikajifanya kama simsikii nikanyoosha hadi mataa ya kijiweni😅!
Hawana sababu zaidi ataomba leseni ili akufosi kukuandikia😅 kosa lolote umpe hela!
Zilikuwa ni za kununulia kiwiNingekuwa Rais hiki kitengo cha trafiki ningewapa mamlaka ya kiraia. Polisi wanachafuliwa sana na hichi kitengo hovyo kabisa wanakula rushwa hovyo halafu virushwa vyenyewe 5k,10k.
Wewe unaweza kushinda kwenye jua kutwa nzima bila kubrashi viatu?Kuna vijana wako watatu, WP wawili na mwanaume mmoja mwembamba. Wako hapa TipTop barabara ya kuelekea Mabibo. Wanakusanya rushwa kwenye daladala na bajaji kama vile konda anavyokusanya nauli kwenye daladala.
WP kazi yao ni kusimamisha halafu konda wa kukusanya ni huyo mwanaume.
Nilikuwa Arusha, same style kwa daladala zinazowaisha akina mama sokoni asubuhi. Watu wanalalamika kimya kimya.
N:B Rushwa ikiendelea kwa kasi hii haswa ndani ya jeshi la polisi, muda si mrefu wananchi wataanza kukinukisha