Hajto
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 5,646
- 5,606
Hapa hata kama utawaweka mashekhe na mapadri wawe traffic polisi bado rushwa haiwezi kwisha wala kupunguaKuwe na vituo maalum vya ukaguzi na wawekwe askali waadilifu.
Yote kwa yote, wapunguzwe na wapangiwe kazi zingine.